Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya nyumbani na wewe umezoea kumuona akiwa home muda wote . So day one inakuwa ngumu sana watoto wengi wanakuwa wasumbufu wanalia , mtoto anskuwa hataki umuache shule
 
Pumzika kwa amani mzee wangu miezi. Minne Sasa ivii

Mzee wangu alikua na falsafa zake moja Kila mtoto wake watano alisoma shule yake ya pekeake pia hakupeleka mtoto English midium primary school mtoto yeyote

Na watoto wake wote watano Wana elimu ya chuo kikuu

NB. Siku ya kwanza nimepelekwa kuanza darasa la kwanza nilipotea ila TUMEMALIZA KUIMBA WASAA NNE BEBE NANGINO 😁 hapa Seran atatupa maana yake
Maana Sijui maana yake na tunaimba WA ASUBUH RAHA RAHA... KWAHERI MWALIMU KWAHERI MWALIMU TUTAONANA KESHO

NIKAPOTEA NIKAOKOTWA NIKAPELEKWA KWA WALIMU NIKAULIZWA NIKASEMA MIMI NAKAA KOTA ZA MA ENG... WAKAPEWA WANAFUNZII WANI ESCORT NIKAFIKA KESHO BABA AKANIPELEKA TENA SIKUWAI POTEA TENA
 
Tatizo ni haya matoto yenu ya kisasa mabroila haya. Matoto malaini kazi kulia lia tu. Hopeless generation! 🚮
Hhh hpn sio kuhusu kumdekeza , mtoto wa miaka 3 / 4 ambaye hajawahi kujichanganya na watu wengine huwa day one lazma impe tabu , mi mwenyewe nakumbuka kipindi hicho naanza shule ilikuwa ngumu sana maana nilizoea kukaa hone kucheki movies tena siku ambayo naanza shule picha la terminator ndo lilikuwa limetoka VHS ipo home aisee ilikuwa mtiti sana
 
Hhhh karibia kila mtu ana story kama hizo , day one huwa inawapa tabu sana watoto
 
Mimi siku ile ilikua kama nimekanyaga mdudu nikawa sioni njia naenda narud naenda narudii ndipo wanafunzii wakaniokota na kunipelekaa kwa walimu ndipo nikapewa escort
Hhhh wengine shule tulikuwa tunaona kama azabu ukikumbuka entertainment za nyumbani , Mzee alikuwa ananitania usipoenda shule utakuwa unasomewa barua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…