Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
- #21
Vipi wewe ulikuwa na tabia hizo au kachukua kwa mama yake ?litoto langu linagawa dozi uko shule balaa mpaka nahofia kesi ya aina yoyote inaweza kuja
Vipi wewe ulikuwa na tabia hizo au kachukua kwa mama yake ?litoto langu linagawa dozi uko shule balaa mpaka nahofia kesi ya aina yoyote inaweza kuja
Hujakosa pesa ya kulisha familia weweHuwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya nyumbani na wewe umezoea kumuona akiwa home muda wote . So day one inakuwa ngumu sana watoto wengi wanakuwa wasumbufu wanalia , mtoto anskuwa hataki umuache shule
Unanikumbusha mbali,enzi zangu niligoma,darasa la kwanza Hadi nilipoona wenzangu wanakuja na simulizi,ndio nikavutiwa!Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya nyumbani na wewe umezoea kumuona akiwa home muda wote . So day one inakuwa ngumu sana watoto wengi wanakuwa wasumbufu wanalia , mtoto anskuwa hataki umuache shule
Mimi nilijua kusoma na kuandika nikiwa mtoto mdogo sana nyumbani kiasi kwamba watu walistaajabu udogo na uwezo wa kusoma kwa ufasahaHhhh wengine shule tulikuwa tunaona kama azabu ukikumbuka entertainment za nyumbani , Mzee alikuwa ananitania usipoenda shule utakuwa unasomewa barua
Hongera sana it seems your so proud of your childhood na mshua wakoMimi nilijua kusoma na kuandika nikiwa mtoto mdogo sana nyumbani kiasi kwamba watu walistaajabu udogo na uwezo wa kusoma kwa ufasaha
Nilijuaga baba angu ndie tajir no moja what a joke... Pia technology ya kusoma na kuandika tulikua tuna imiliki....
For sure mpaka Leo na uhakika baba alitupa maisha Bora kuliko tunayo ishi Sasa... Some people are very luck... Sio kwamba tuna maisha tia maji ila mzee alikua unique
Nakumbuka Christmas 🎄 ilikua Christmas kweli kweli Kuna mengi ulitufunza hakika sisi tulibahatika kupata baba bora
Pumzika baba
Hizo boarding zinaua bond ya mzazi na mtotonafikiri hata ni ngumu zaidi kwa mtoto, ndiyo maana huwa sielewi kabisa yani wazazi wanawezaje kumpeleka mtoto wao boarding darasa la kwanza, ana miaka 6 unamuagaje hata na kuondoka? ...
Hasira sana mkuu 😄😄Tatizo ni haya matoto yenu ya kisasa mabroila haya. Matoto malaini kazi kulia lia tu. Hopeless generation! 🚮
Huwa nakuheshimu heshimu hivi. Am I wrong? 😳Utakuta wewe ni tasa. Waache wazazi na watoto wao.
Masista walijua kumteka wana mbinu za kuwa win watotoAaahh miye nilipompeleka ilikiwa shule ya masista, ss nyumbani alikuwa peke yake.
Masista walimpokea na pipi na lile kundi la wenzake na yeye ni mtu wa vibe wala hakulemba alijichanganya na kusema byeee byeee.
ku label watoto wawengine kama "matoto, mabroiler umeona ni sawa?Huwa nakuheshimu heshimu hivi. Am I wrong? 😳
Fuata Nyayo za baba,usiwe katili kama Lukas Mwashambwa!Hongera sana it seems your so proud of your childhood na mshua wako
Yaani wana pipi, chokleti na wanawashika watoto mkono wanatembea nao. Pia wanawapokea kwenye gari km amekuja na gari binafsi yaani mtoto anajiona yuko salama.Masista walijua kumteka wana mbinu za kuwa win watoto
Relax Baby Doll. Msemo wa mabroila ni msemo wa kiutani tu huku mtaani kuhusu haya matoto ya kisasa masharobaro haya tepetevu. Hata sielewi ni kwa nini umepaniki namna hii!ku label watoto wawengine kama "matoto, mabroiler umeona ni sawa?
It is up to you to decide if you were right or not. I never asked for your respect, take it back and use it to respect others. Period.
Naam! Hili ndilo linastahili cheo cha ujunia 100%. Liambie liendelee kugawa dozi hivyo hivyo maana dunia hii ni katili sana kwa wanaojifanya wanyenyekevu. Hebu linunulie kile kichupa kidogo cha ile sharubati ya embe kwa niaba yangu aisee. Safi sana! 👏👏👏litoto langu linagawa dozi uko shule balaa mpaka nahofia kesi ya aina yoyote inaweza kuja
Maisha yamebadilika sana sio kama enzi zetu...Hongera sana it seems your so proud of your childhood na mshua wako
Wasaa nne makombo!Pumzika kwa amani mzee wangu miezi. Minne Sasa ivii
Mzee wangu alikua na falsafa zake moja Kila mtoto wake watano alisoma shule yake ya pekeake pia hakupeleka mtoto English midium primary school mtoto yeyote
Na watoto wake wote watano Wana elimu ya chuo kikuu
NB. Siku ya kwanza nimepelekwa kuanza darasa la kwanza nilipotea ila TUMEMALIZA KUIMBA WASAA NNE BEBE NANGINO 😁 hapa Seran atatupa maana yake
Maana Sijui maana yake na tunaimba WA ASUBUH RAHA RAHA... KWAHERI MWALIMU KWAHERI MWALIMU TUTAONANA KESHO
NIKAPOTEA NIKAOKOTWA NIKAPELEKWA KWA WALIMU NIKAULIZWA NIKASEMA MIMI NAKAA KOTA ZA MA ENG... WAKAPEWA WANAFUNZII WANI ESCORT NIKAFIKA KESHO BABA AKANIPELEKA TENA SIKUWAI POTEA TENA