Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

Hujakosa pesa ya kulisha familia wewe
 
Unanikumbusha mbali,enzi zangu niligoma,darasa la kwanza Hadi nilipoona wenzangu wanakuja na simulizi,ndio nikavutiwa!
 
Hhhh wengine shule tulikuwa tunaona kama azabu ukikumbuka entertainment za nyumbani , Mzee alikuwa ananitania usipoenda shule utakuwa unasomewa barua
Mimi nilijua kusoma na kuandika nikiwa mtoto mdogo sana nyumbani kiasi kwamba watu walistaajabu udogo na uwezo wa kusoma kwa ufasaha

Nilijuaga baba angu ndie tajir no moja what a joke... Pia technology ya kusoma na kuandika tulikua tuna imiliki....

For sure mpaka Leo na uhakika baba alitupa maisha Bora kuliko tunayo ishi Sasa... Some people are very luck... Sio kwamba tuna maisha tia maji ila mzee alikua unique

Nakumbuka Christmas ๐ŸŽ„ ilikua Christmas kweli kweli Kuna mengi ulitufunza hakika sisi tulibahatika kupata baba bora

Pumzika baba
 
Hongera sana it seems your so proud of your childhood na mshua wako
 
nafikiri hata ni ngumu zaidi kwa mtoto, ndiyo maana huwa sielewi kabisa yani wazazi wanawezaje kumpeleka mtoto wao boarding darasa la kwanza, ana miaka 6 unamuagaje hata na kuondoka? ...
Hizo boarding zinaua bond ya mzazi na mtoto
 
Aaahh miye nilipompeleka ilikiwa shule ya masista, ss nyumbani alikuwa peke yake.

Masista walimpokea na pipi na lile kundi la wenzake na yeye ni mtu wa vibe wala hakulemba alijichanganya na kusema byeee byeee.
 
Sikumbuki kama nilipelekwa shule ila nilijikuta nipo naweka mkono kichwani kushika sikio , ukifanikiwa moja kwa moja unaanza darasa la kwanza.
Shuleni kwetu ilikua kufika walao una vuka mito 3 ndio unafika.
 
Huwa nakuheshimu heshimu hivi. Am I wrong? ๐Ÿ˜ณ
ku label watoto wawengine kama "matoto, mabroiler umeona ni sawa?
It is up to you to decide if you were right or not. I never asked for your respect, take it back and use it to respect others. Period.
 
Masista walijua kumteka wana mbinu za kuwa win watoto
Yaani wana pipi, chokleti na wanawashika watoto mkono wanatembea nao. Pia wanawapokea kwenye gari km amekuja na gari binafsi yaani mtoto anajiona yuko salama.

Pia pale ni nursery na hizi ppz tuu wale wakubwa wako huko mbali.
 
ku label watoto wawengine kama "matoto, mabroiler umeona ni sawa?
It is up to you to decide if you were right or not. I never asked for your respect, take it back and use it to respect others. Period.
Relax Baby Doll. Msemo wa mabroila ni msemo wa kiutani tu huku mtaani kuhusu haya matoto ya kisasa masharobaro haya tepetevu. Hata sielewi ni kwa nini umepaniki namna hii!
 
litoto langu linagawa dozi uko shule balaa mpaka nahofia kesi ya aina yoyote inaweza kuja
Naam! Hili ndilo linastahili cheo cha ujunia 100%. Liambie liendelee kugawa dozi hivyo hivyo maana dunia hii ni katili sana kwa wanaojifanya wanyenyekevu. Hebu linunulie kile kichupa kidogo cha ile sharubati ya embe kwa niaba yangu aisee. Safi sana! ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Wasaa nne makombo!

Labda Manyanza anaweza๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ