gallow bird Habari tena..
Unajua Nimecheka utanisamehe sana...
Kiukweli nisiwe Mnafiki Nimecheka..
Katika Andiko lako ulilogoogle Kuna mahali umeona Kuna Hukumu ya watakatifu au Waovu?
Kuna mahali umeona Imeandikwa Kiama? Au Imeandikwa Simply kwamba Myahudi Ana amini Akifa Anaenda Mbinguni..
Hakuna Dini ambayo Haiamini Maisha Baada ya Kufa Ila Dini zinazoamini kuna Kiama ya Wafu na Kuwa Kuna Hukumu Ya waliokufa na Hukumu ya Watakatifu ni Wakristo na Waislamu peke yake nitarudia Hii zaidi ya Mara 100
na nikufundishe kitu unapozungumzia Orthodox Judaism ndo unazungumzia Judaism hiyo in a whole..
Sasa lets Make a Simple clarification kwako..
UFUFUO NA HUKUMU
katika ukristo na Uislamu inaaminika kwamba kuna siku moja (Qiyama) Ambayo Wanadamu wote watafufuliwa na kuhukumiwa kwa Makosa Yao waliyofanya Wengine wakihukumiwa kwa Ajili ya Kwenda Mbinguni/Peponi na wengine waovu wakipelekwa Jehhanamu au Motoni..
huku Kipindi wanasubiri Hiyo siku wanakuwa Kaburini
na hii ukielezea kwa wakristo watakuelewa zaidi na hata ukielezea kwa waislamu inaonekaa ni kama smooth tu kusema hivyo...
Sasa nini Wayahudi huamini nini?
Though Wayahudi katika hili, madhehebu yao na Marabbai wamepishana Misimamo lakini wote wanakubaliana na kuafikiana kwamba Hakuna siku itakayokuwa Moja itaitwa siku ya Qiyama Au siku ya mwisho ambayo watu watahukumiwa kwa pamoja..
Na Wana Amini kuwa hakuna siku Moja Special Itakayoitwa siku ya Hukumu kwa sababu wao kila mwaka wana Sherehe moja inaitwa
Rosh Hashanah
"Na wao wanaamini kuwa hiyo ndo siku ya Hukumu Kila mwaka na katika siku hiyo Mungu huangalia Dhambi na matendo ya Kila mtu aliyofanya mwaka uliopita...(Na hii hufanyika mwanzo wa mwaka wa kiyahudi)"
Na kuna
Yom Kippur Siku kuu nyingine wanaamini ndo siku ambazo Mungu Hupokea Msamaha na hufanya maamuzi ya mwaka mwingine kwako kama na ndo muda ambao wao huomba toba ya kweli na hizi siku ndo wao huziita SIKU ZA HUKUMU (Judgements Days)... Ambazo ni
Rosh Hashanah na Yom kippur
Zikipita hizi siku ambazo wao Huziita
(Aseret Yemei Teshuva) wakiwa kwenye ni siku 10 kama sijasahau sana Huwa ni Toba zikiisha wanaanza siku nyingine zinaitwa siku za Upatanisho
Yom Kippur (Days of Atonement) kwahiyo watatumia na siku hizo kuomba kupatana na Mung_ na baada ya hapa wanaanza maisha mapya ya mwaka bila dhambi..
kumbuka kwamba myahudi hatahukumiwa/ wala Hahukumiwa kwa kuwa tayari walishafanya
Yom kippur na Rosh Hashanah..
So Yes wanaamini Kwamba Wakifa wanaenda Mbinguni so Do Hindu and Budha On the concepts Of Reincarnation..
Nakaribisha Maswali Young boy