Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

Kusema wasamaria pia walikuwa wayahudi hapo ndipo natapata mkanganyiko.

Kila kabila lipate eneo leke kadri ilivyofaa.
Yes, Samaritans au Wasamaria ni descendants kutoka Kwa Israelites yaani Wana Wa Israel but they are not considered to be Jewish...
Hapo Sijui Unanielewa Nikisema Hivyo

Wasamaria ni wale Waisrael waliobaki Samaria baada ya Assyrian Empire (Shamu) kuwakuyuga northern Kingdom of Israel around 720 BCE.

Samaritans practice Samaritanism, an Abrahamic monotheistic religion that is similar to Judaism. The Samaritans' primary sacred text is the Samaritan Pentateuch, which they believe is the original and unaltered Torah.

Na Wasamaria Ni watoto wa Yakobo Kabila Mbili za watoto wa Yakobo yaani Ephraim na Mannase nadhani unawajua hao watoto wa Yakobo..
 
Kwa maelezo haya hakuna anae jua Dunia vizuri
 
Nimesoma hakuna uthibitisho wowote labda wewe unaweza kuuleta
All animals share a single common ancestor, which was likely a single-celled organism similar to modern-day choanoflagellates. Choanoflagellates are microscopic eukaryotes that live in water and have a collar-shaped structure and a single whip-like flagellum.












Here are some other key points about the ancestors of all animals:
  • The earliest known ancestor of most animals today is the wormlike creature Ikaria wariootia, which lived 555 million years ago in Australia. Ikaria wariootia had bilateral symmetry, which is a property shared by 99% of animals today.












  • The first split in the animal lineage separated the ancestors of today's sponges from all other species. Sponges lack a nervous system and muscles, which other animals have.






  • Later, the common ancestor of non-sponge animals evolved muscles and neurons, allowing them to move around.






  • The muscle-and-neuron-carrying animals then split into two main lineages: cnidarians, which includes jellyfish, and bilaterians.
 
Mkuu ndio maana nikakwambia huu ni upuuzi , hakuna akili itakubali huu ujinga
 
Former President Clinton, alizungumza wakati wa kampeni ya Kamala Harris, ameamua kuwatolea uvivu wapalestina na Yassier Arafat wao Kuwa walimdanganya kuhusu Yale maku baliami ya amani ya Oslo.

View: https://x.com/emilykschrader/status/1852274754821947903
 
Hii chai wametia sukari nyingi mpaka huwezi kunywa
Niliwahi muuliza mtu mahali fulani ...tusubiri miaka mingapi watu watokee toka kwenye Eukaryotes tuje kuishi nao ?
Alibaki kuangua kicheko tu, Kisha akaniambia Sayansi na mwanasayansi mkuu wanakutaka wewe mfuataji u-obey.
Just OBEY kile wanasema.
 
Wewe mbumbumbu kweli. Heni msikilize musiłam Halisi akupe elimu

View: https://x.com/VividProwess/status/1845209854094328073
 
Niliwahi muuliza mtu mahali fulani ...tusubiri miaka mingapi watu watokee toka kwenye Eukaryotes tuje kuishi nao ?
Alibaki kuangua kicheko tu, Kisha akaniambia Sayansi na mwanasayansi mkuu wanakutaka wewe mfuataji u-obey.
Just OBEY kile wanasema.
Hawana tofauti na wale binadamu alikuwa sokwe, lakini masokwe tunao na hakuna mabadiliko yeyote kuwa binadamu
 
Kwani kuna ufahari gani au muhimu gani kuishika na kuijua hicho kitabu kilichohifadhi mila za kiarabu (uislamu)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…