Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

Waacheni wafilisti waishi kwani walimkosea nini Mungu, maana kuna sehemu kwenye biblia, agano la kale Mungu aliwaambia waisrael wawaue wafilisti wote asibaki hata mmoja wakati huo mtawala wa Israel Sauli, lakini yeye hakutii, Mungu akawambia itakuwa miiba kwenu na kweli ukifatilia yani Israel na Palestina vita yao haiishi na haita isha.
 
Ingependeza na wewe ungefanya rejea za miaka kama alivyofanya mleta mada na ukatuambia chimbuko hasa la Wayaudi na ilikuaje Taifa lao likaundwa pale na sio sehemu nyingine.
 
Waisrael gani?..hawa wazungu,hao wafisti walitoka wapi?
 
Hao Wapalestina waliopo hapo wametokea wapi ?
 
Good reasoning......hao kina Netanyau na genge lake wametokea Ulaya magharibi, Mashariki (Poland, Romania etc) na Marekani.
 
JEE ISRAELI NI NCHI AU KABILA?
Huwezi kukuta katika Biblia wala Kuraan kuwa Israel ni jina la nchi.
Israel ni jina Yakub (Jacob). Yakub ilipewa jina hilo kwa sababu alikuwa anapenda kusafiri usiku kuliko mchana.
JEE ISRAEL NI JINA LA NCHI AU KABILA?
Ninaanza kujibu hiyo hoja kwa kuuliza hilo suali. Katika Biblia na kuraan , Isreal ni jina la Yakub (Jacob) sio jina la nchi. Katika mafundisho ya Uislam Yakub alipewa jina hilo la Israel kwa sababu alikuwa anapenda kusafiri usiku kuliko mchana yaani alikuwa anakesha usiku kwa kusafiri. Na kizazi chake Jacob ndio kikaitwa Wana wa Israel yaani watoto wa mwenye kukesha usiku. Hapa ndio ulilipoanzia jina la Israel. Huyu Yakub kabla kajaanza kuitwa Israel kwa tabia yake ya kwenda usiku alikuwa akiishi Palestina. Kwa hiyo Palestina ilikuwa ipo kabla hata Jacob haitwa Israel.
Hawa wanajiita Israel ni wanaharam wa Kiyahudi aliokuwa wakitanga tanga katika nchi za Ulaya na kufanya ushenzi wao. Wazungu wa Ulaya baada ya kuwachoka kwa ushenzi ndio wakaamua kuwatafutia nchi ili wakaishi. Nchi moja ilipendekezwa ilikuwa na uganda lakini ukaonekana Uganda haifanani na ngozi wa Mayahudi ndio ikaamuliwa wakamegewe sehemu ya Palestina.
Kumbuka hawa ni Mayahudi hawakuwa wana Israel wala hakukuwa na jina la nchi la inayoitwa Israel, ndio wakabuni hilo jina la Isreal ili iwe kama ndio jina la nchi yao.
 
KILA KITU ALIKOPY KUTOKA JUDAISM LEO HII KAFA BADO WAFUASI KIBAO
Big Bang? The Qur'an says that "the heavens and the earth were joined together as one unit, before We clove them asunder" (21:30).

Hii ipo kwenye tanakh ya wayahudi?
 
Hebu sema huo Ukweli?!
Hapa braza sio kweli.
Arab armies conquered Jerusalem in 638 CEunder the Rashidun Caliphate, led by Umar ibn al-Khattab. Umar was a close companion of the prophet Muhammad and the second successor to Abu Bakr.












The conquest of Jerusalem was a significant event in Islamic history and reshaped the region's religious and cultural landscape:
 
Na hakuna sehemu imeandikwa israhell kama ipo ileteni
. The Quran also states that the Land of Israel is the homeland of the Jewish people, and that God gave the land to them as a heritage.












Here are some Quran verses that mention Israel:
  • Surah 5:21: Moses tells the Israelites that Allah has assigned the Holy Land to them.






  • Surah 17:2: God gave Moses the scripture as guidance for the children of Israel.






  • Surah Al-Isra: 104: God tells the children of Israel to reside in the land, and that he will bring them all together when the promise of the Hereafter comes to pass.






Other Quran verses that mention Israel include: 7:105, 7:134, 7:137, and 7:138.
 
Kuna surah kabisa inaitwa banii israail/wana wa israel,ahadi iliambatana na masharti ambayo hayakutimizwa ukisoma hizo aya,najua umegugo ukakopi tu,halafu Quran Inasema musa alikua muislam si myahudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…