Hakuna Timu ya Afrika Itakayoingia Hatua ya Mtoano Huko Qatar

Morocco anakuja kukuaibisha mkuu
 
Muache kukurupuka
 
Ghana na Morocco wanatafuta namna ya kuweza kukuumbua mleta uzi.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Lipo wazi Hilo Senegal kashinda Jana lakini itahitaji zaidi ya muujiza kumfunga Equador..muujiza
Tunisia baada ya kufungwa na timu dhaifu zaidi kwenye kundi lao, mwendo pia ameumaliza
Morocco hatobo, yupo kundi gumu Sana japo Ana point moja tayari
Mbona hujaitaja Ghana?
 
Mleta uzi alikurupuka, ona sasa anaumbuka. Aliandika uzi kwa hisia.

Ghana kamlamba mtu huko, yuko nafasi ya 2 na pont zake 3. Wanaomfata wana mojamoja.
Ana nafasi kubwa ya kupita.

Moroco, Ghana na Senegal wote wana 60℅ za kupita.. Tunisia byebye cameroon akaze makalio kupita sio rahisi kwake.
 
Senegal ana nafasi ndogo sana ya kupita sababu anatakiwa kumfunga ecuador
 
Cameroon jana walikuwa wanapoteza mpira hadi wanakera. Hata ile draw walipata washukuru sana muumba wao.
 
shida ni moja tu kila mtu anataka kufunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…