Hakuna Timu ya Afrika Itakayoingia Hatua ya Mtoano Huko Qatar

Unawafahamu Senegal 🇸🇳?
 
Nikitaka kuiona Senegal nichukue ramani ya bara gani kati ya Asia, Ulaya, Amerika kaskazini na Amerika ya Kusini.
 
Upo? [emoji1211][emoji1211][emoji1211]
 
 

Ukute haujui hata kucheza mpira, ukaungaunga na kiingereza chako cha ugoko ukajikuta bonge la mchambuzi, ukitoka hapo unaomba bundle kwa shemeji yako unazama jf kuchambua soka kibushbush,
 
Huu ni mwandiko wa Jemadari Said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…