Hakuna Timu ya Afrika Itakayoingia Hatua ya Mtoano Huko Qatar

Njoo kwa herufi kubwa.
Simba aitwaye Senegal kashawatangulia wenzake hatua ya mtoano.
A true lion never die.
 
Duh!!! kweli imeloa
 
Njoo kwa herufi kubwa.
Simba aitwaye Senegal kashawatangulia wenzake hatua ya mtoano.
A true lion never die.
Huyu simba atatoboa kwa mkoloni kweli?

Au wajukuu wa malkia watapita bila kupingwa hadi fainali

#Itscominghome
 
Lipo wazi Hilo Senegal kashinda Jana lakini itahitaji zaidi ya muujiza kumfunga Equador..muujiza
Tunisia baada ya kufungwa na timu dhaifu zaidi kwenye kundi lao, mwendo pia ameumaliza
Morocco hatobo, yupo kundi gumu Sana japo Ana point moja tayari

Senegal kashinda huko.mpira dakika 90 sio porojo zako za mdomoni hizo
 

Mambo yamebadilika sasa hivi wachezaji wa kiafrika wote wanacheza Ulaya na akili zao zimebadilika.
Sasa hivi umekimbia uzi wako unaona aibu kwa ujinga ulioandika.k-eng-emmoja
 
Senegal imekuaibisha mapema.
Una harufu ya uchawi
 
Sawa, Njoo ukalie kigingi cha moto sasa.
 
Ni dhahiri kwamba hakuna timu ya Afrika itakayoweza kuingia hatua ya makundi kwenye michuano inayoendelea ya Kombe la Dunia.
Mbona timu zote tano za Afrika zipo kwenye hatua ya makundi? Au nikutajie?
Senegal ....... Group A
Tunisia .......... Group D
Morocco ....... Group F
Cameroon .. Group G
Ghana ........... Group H
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…