Huwa hakuna middle ground na wafia dini kwa sababu wao wanaamini bila hata reasoning au logic.Waulizeni kwanini wanaamini hivyo, halafu mjadili, sio kurushiana matusi tu.
Kwenye mdahalo, pande husika zinatakiwa kutafuta nafasi ya kati(middleground) na si kushindana.
Huyu sijui hata ataumwa ugonjwa gani siku za usoni!!Mtani twende halftime maramojaView attachment 3532779
Utakatwa kichwaWaislamu wanaonewa sana humu. Wanatupiwa kashfa na matusi ya nguoni. Watu hawajui jinsi ya kufanya midahalo yenye afya.
Naamini ipo siku atatokea muislamu mmoja humu mwenye uelewa mpana na ataweka kila linalotakiwa sawa.
😄😄hapo lazima ufunge suruali kwa chini na kambaMtani twende halftime maramojaView attachment 3532779
Imani kama thamani ya kibinafsi hutoa dira ya kimaadili, kusudi, uthabiti, na tumaini, inayoongoza maamuzi na matendo kwa kuunganisha watu binafsi na kitu kikubwa kuliko wao wenyewe, ikikuza amani ya ndani, ujasiri, na tabia ya kimaadili, hata katika hali ya kutokuwa na uhakika. Huunda mtazamo wa ulimwengu, utambulisho, na mahusiano, kubadilisha imani kuwa vitendo, kama vile kuchagua msamaha badala ya kinyongo au kupata nguvu katika majaribio.Sisi tumeridhika na Manabii wetu na Mungu wetu aliyejitambulisha kwa majina mawili ya hapo juu:
Shida ya hao jamaa zetu wanatufosi tumtambue mtume wao Muhammadi na Mungu wao Allah:
Washike alicho waambia mtume wao kuwa hawa mwabudu tunaye mwabudu katika Sura ya Makafiri:
109 Surat Al-Kafirun
WallakhiNikupe na bonus!?😀View attachment 3532778
Kwa nini jamii zenye kiwango kikubwa sana cha dini kama za Waafrika zina kiwango kidogo sana cha maadili na haki ukilinganisha na jamii zenye kiwango kidogo cha dini mfano China, Scandinavia countries, Singapore, Korea n.k?Imani kama thamani ya kibinafsi hutoa dira ya kimaadili, kusudi, uthabiti, na tumaini, inayoongoza maamuzi na matendo kwa kuunganisha watu binafsi na kitu kikubwa kuliko wao wenyewe, ikikuza amani ya ndani, ujasiri, na tabia ya kimaadili, hata katika hali ya kutokuwa na uhakika. Huunda mtazamo wa ulimwengu, utambulisho, na mahusiano, kubadilisha imani kuwa vitendo, kama vile kuchagua msamaha badala ya kinyongo au kupata nguvu katika majaribio.
Madhumuni ya dini yana mambo mengi, yakiwapa watu binafsi na jamii maana, mwongozo wa kimaadili, jumuiya, na faraja kwa kueleza yasiyoelezeka (kama kifo) na kukuza tumaini, huku pia ikitengeneza sheria, mila, na miundo ya kijamii, ingawa tafsiri hutofautiana kutoka kukuza umoja hadi kusababisha mgawanyiko wakati mwingine. Inatoa mifumo ya kuelewa maisha, kuunganisha watu kwa kitu kikubwa zaidi, na tabia ya kuhamasisha, iwe kwa njia ya mwanga wa kiroho au ushirikiano wa kijamii.Kuna Dini nyingi sana Duniani:
Mtu anaingia na kutoka bila bugdha yoyote:
Ni hiyari yake
Ila hii sio dini ni Kilinge cha Wachawi:.
Waendelee na uchawi wao basi:
Sunan an-Nasa'i 4059
Ibn 'Abbas said:
"The Messenger of Allah [SAW] said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"
Si wangemwita tu huyo mesenja wa Allah kuwa ni
Ki Gagula
Zile values za dini za kiafrika ziliharibiwa na uvamizi wa wageni.. Wazungu na waarabu.. Walifanya juhudi kubwa kuharibu na kufisha kila kitu kisha wakatuletea imani za kigeni na kuzifanya ndio boraKwa nini jamii zenye kiwango kikubwa sana cha dini kama za Waafrika zina kiwango kidogo sana cha maadili na haki ukilinganisha na jamii zenye kiwango kidogo cha dini mfano China, Scandinavia countries, Singapore, Korea n.k?
Au maadili ni kupinga ushoga tu??
Huoni kuwa suala likishakuwa la kijamii hivyo haliwezi kuepuka ukosoaji wa kijamii, na kwamba ukosoaji huu wa kijamii ni mzuri kwa kuwa utawezesha ukweli kueleweka zaidi, na kwamba bila ukosoaji huu wa kijamii watu wanaweza kuamini uongo na ujinga wowote tu?Madhumuni ya dini yana mambo mengi, yakiwapa watu binafsi na jamii maana, mwongozo wa kimaadili, jumuiya, na faraja kwa kueleza yasiyoelezeka (kama kifo) na kukuza tumaini, huku pia ikitengeneza sheria, mila, na miundo ya kijamii, ingawa tafsiri hutofautiana kutoka kukuza umoja hadi kusababisha mgawanyiko wakati mwingine. Inatoa mifumo ya kuelewa maisha, kuunganisha watu kwa kitu kikubwa zaidi, na tabia ya kuhamasisha, iwe kwa njia ya mwanga wa kiroho au ushirikiano wa kijamii.
Mapungufu ya dini yanayotajwa mara nyingi ni pamoja na kuhalalisha migogoro na vurugu, kukuza mgawanyiko na chuki, kuzuia maendeleo ya kisayansi/akili, kukandamiza uhuru wa mtu binafsi na fikra makini, kukuza mafundisho, kuwezesha udhibiti wa kijamii na ufisadi, na kuunda unafiki wa ndani au imani potofu ambayo inapuuza mahitaji ya kimaadili, pamoja na ukosoaji kutoka kwa madai ya ukweli ya kipekee ya waamini na masuala ya kijamii.Huoni kuwa suala likishakuwa la kijamii hivyo haliwezi kuepuka ukosoaji wa kijamii, na kwamba ukosoaji huu wa kijamii ni mzuri kwa kuwa utawezesha ukweli kueleweka zaidi, na kwamba bila ukosoaji huu wa kijamii watu wanaweza kuamini uongo na ujinga wowote tu?
Dini huathiri sana watu binafsi na jamii, ikitoa manufaa ya kisaikolojia kama vile matumaini, jumuiya, na mbinu za kukabiliana na hali hiyo, huku pia ikiathiri afya ya kimwili, utambulisho wa kijamii, na kanuni za kitamaduni, lakini pia inaweza kuchangia migogoro, kutovumiliana, na migawanyiko ya kijamii, kuathiri kila kitu kuanzia sheria na uchumi hadi ustawi wa mtu binafsi.Huwa hakuna middle ground na wafia dini kwa sababu wao wanaamini bila hata reasoning au logic.
Dini ni hekaya za kizamani ambazo zishapitwa na wakati hazihitajiki sana kwenye dunia ya leo ikiwa watu wataweza kutumia maarifa mapya yaliyozalishwa na sayansi vizuri.Mapungufu ya dini yanayotajwa mara nyingi ni pamoja na kuhalalisha migogoro na vurugu, kukuza mgawanyiko na chuki, kuzuia maendeleo ya kisayansi/akili, kukandamiza uhuru wa mtu binafsi na fikra makini, kukuza mafundisho, kuwezesha udhibiti wa kijamii na ufisadi, na kuunda unafiki wa ndani au imani potofu ambayo inapuuza mahitaji ya kimaadili, pamoja na ukosoaji kutoka kwa madai ya ukweli ya kipekee ya waamini na masuala ya kijamii.
Basi ni jambo jema na ulipaswa kufurahi wanaozikosoa na kuzifanyia satire hizo dini zilizoletwa na majahazi.Zile values za dini za kiafrika ziliharibiwa na uvamizi wa wageni.. Wazungu na waarabu.. Walifanya juhudi kubwa kuharibu na kufisha kila kitu kisha wakatuletea imani za kigeni na kuzifanya ndio bora
Kosa kubwa ni kwamba mika,desturi, tamaduni na imani zetu zilirithishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine kwa njia ya mdomo bila maandishi.. Hi yo kuharibu ikawa rahisi Sana
Dini tulizoletewa zikajikita kwenye kutuzoeza imani (kuamini) zaidi kuliko kuhoji ndio maana misahafu yetu sio mikubwa kulinganisha na Bhavaghitas na Sutras
Mashariki ya kati kwenye dini zinazoabudu miungu waliweza kukiepa kikombe cha wavamizi kwakuwa tunu zao zilikuwa kwenye maandishi
Hizi dini japo zina kale kaujinga kakuamini bila kuhoji lakini msingi wake ni kuhoji na kufanya reasoning kabla ya kuamua kuamini ama kutoamini
Namuona BUNDI katua kwenye mti unaopendwa sana na POPO.. !Hakuna vita ya kidini iliwahi shinda.. Kinachoshinda siku zote ni ukimya