Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

Nakukumbusha tu warusi ndo watu wa kwanza kurusha satellite. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo mwezini. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo kwenye sayari ya mars. warusi ndo watu kwanza kurusha space station huko angani
Kama kawaida, Porojo zimeanza 😂😂
 
Nimesoma kwa umakini na nimeelewa. Ila hakuna sehemu ambayo wamesema Urusi amewahi kutua sayari nyekundu
Hapo wanasema hajawahi kupeleka binadamu ila alishapeleka chombo ambacho hakina binadamu......hizi mission kuna crewed na kuna uncrewed.......uncrewed ndo nyingi kuliko ambazo zina crew kwenye chombo,,,,hata mwezini mrusi alikua wakwanza ila chombo chake kilikua uncrewed ila marekani ndo wakwanza mwezini kwa chombo ambacho kipo crewed na alifanya hivyo baada ya mrusi kuanza kupeleka chombo kule
 
Ana umri mdogo,hamjui Yuri Gagarin
 
Tukate ubishi! Nyote hapa mnaobishana! Kwa akili zako, Ni Taifa lipi lenye nguvu za Kiuchumi, kijeshi, na kiasiasa duniani?
Ni USA?
Ni Urusi?
Ni China?
 
Ni suala la kuhuisha tu silaha zao. Swali nani aliye gundua silaha hizo?
Ukija kwenye silaha rudi tu hapo vita kuu ya pili ujue nani aliemuangusha Hitler,,,,,bila mrusi leo hii superpower angekua mjerumani
 
Acha uongo. Tupe ushahidi. Alirusha lini? Nakuambia watu waliotua kwenye sayari nyekundu ni Marekani, China na Elon Musk. Huyu Mrusi wako ameishia mwezini tu, napo alifika mwezini kwa kufuata nyayo za Marekani
Unajifanya mbishi na mjuaji halafu kumbe huna data. Acha kujiabisha wakati uki Google tu unaletewa taarifa na bado unalazimisha kupindisha ukweli. Umeomba ushahidi umeletewa na bado unakaza fuvu.
 
Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna binadamu aliyewahi kutoka nje ya dunia kwenda kwenye mwezi au sayari nyingine. NASA ni waongo wa kutupwa. Hao tunaoona wamefika sijui mwezini siyo kweli, wanaenda chini ya bahari tu huko na kujifanya wako mwezini. Hakuna aliyewahi kufika huko.
 
Ingekuwa kweli Mrusi asingekuwa anamuomba Elon Musk kanuni ya kutengeneza Rocket ziwe zina ufanisi.
Ww jamaa ni mpumbavu kweli yaani Urusi aliye anza kutengeneza roketi na Sataraiti, na aliye weza kwenda mwezini ya miaka miaka 70 iliyo pita ndo she kuomba utaalamu kwa Elon Musk ambaye hana hata miaka 20ameanza kufanya hayo mambo?

Yaani unaishangaa nchi kutengeneza Sataraiti wakati hata Iran tu ana zitengeneza kila siku?
 
Acha uongo. Tupe ushahidi. Alirusha lini? Nakuambia watu waliotua kwenye sayari nyekundu ni Marekani, China na Elon Musk. Huyu Mrusi wako ameishia mwezini tu, napo alifika mwezini kwa kufuata nyayo za Marekani
Urusi ndo nchi ya kwanza kutuma chombo mwezini labda kama unataka kuanzisha ubishi wa kijinga.
 
Kwa nini unaamini hakuna binadamu aliyewahi kufika mwezini?
 
Ha ha ha ha, zina msaada gani kwenye maisha ya kila siku? Tazama vitu alivyo gundua Mmarekani, Simu, Ndege, Radio na TV, Silaha nzito nzito zote nk. Hao wengine wote wanafuata nyayo za Marekani.
Hivi ww jamaa una elimu gani kwanza maana tusije tukawa tunaongea na kilaza.
Sasa hivyo vitu vyote ulivyo vitaja ni kipi ambacho Urusi au China hawatengenezi?
Ww mwenyewe karibia asilimia 90 silaha zinazo ilinda nchi yako zimetengezenezwa kwa teknolojia ya kirusi alafu unaongea pumba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…