bro hatutak historia , zungumzia leoNakukumbusha tu warusi ndo watu wa kwanza kurusha satellite. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo mwezini. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo kwenye sayari ya mars. warusi ndo watu kwanza kurusha space station huko angani
So what?.Juzi Putin alisema kwa upande wa propaganda hakuna anaeweza kuwafikia Marekani, maana vyombo vyote vya habari vikubwa ulimwenguni wanamiliki wao...
Ila kiuhalisia China na Urusi wanampita kwa Mengi sana Marekani...ila sababu tunasubiri CNN na BBC ndio waseme tutasubiri sana.
Tafadhali tueleze huo uhalisia.Juzi Putin alisema kwa upande wa propaganda hakuna anaeweza kuwafikia Marekani, maana vyombo vyote vya habari vikubwa ulimwenguni wanamiliki wao...
Ila kiuhalisia China na Urusi wanampita kwa Mengi sana Marekani...ila sababu tunasubiri CNN na BBC ndio waseme tutasubiri sana.
Alichosema ni sahihi kabisa.Kahawa inalewesha?
Walishaachana na Urusi kwenye suala la injini na kukodi vyombo vya Urusi kwenda ISS, SpaceX kamaliza kila kituSasa hapo kuna jambo gani la ajabu hapo ?hayo mambo uliyoyaweka hapo hata Iran anayatengeneza sembuse Urusi na china ?
Mbona hivyo vitu vyote ulivyo viweka hapo Urusi imeanza kuvitengeneza zaidi ya miaka 50 iliyo pita?
Tena mpaka sasa Marekani anaitegemea injini za Urusi ili aweze kupeleka wanaanga wake.
Mrusi ndiye wa kwanz akupeleka chombo cha anga kwenye sayari ya mwezi (moon)Acha uongo wewe. Ni lini Urusi walirusha chombo kwenye Sayari ya Mars na kikafika? Watu waliorusha vyombo kwenye sayari ya Mars ni watatu tu mpaka sasa, Marekani, China na Elon Musk. Pia mrusi angeshusha chombo mwezini lazima angejisifu sana.
Acha ubishi mkuu, fungua hiyo linkAcha uongo. Tupe ushahidi. Alirusha lini? Nakuambia watu waliotua kwenye sayari nyekundu ni Marekani, China na Elon Musk. Huyu Mrusi wako ameishia mwezini tu, napo alifika mwezini kwa kufuata nyayo za Marekani
Nani mwenye akili kati ya aliye gundua kitu na anaye kopi kitu cha mtu aliye gundua?Hivi ww jamaa una elimu gani kwanza maana tusije tukawa tunaongea na kilaza.
Sasa hivyo vitu vyote ulivyo vitaja ni kipi ambacho Urusi au China hawatengenezi?
Ww mwenyewe karibia asilimia 90 silaha zinazo ilinda nchi yako zimetengezenezwa kwa teknolojia ya kirusi alafu unaongea pumba tu.
Wewe ndo unaleta porojo, jamaa kasema kweli kabisaKama kawaida, Porojo zimeanza 😂😂
Ndo maana ya yale maneno ya america and the world!!! ndo maana ya lile neno US ni land of opportunity!!View attachment 2906177View attachment 2906180
View attachment 2906178
View attachment 2906182
View attachment 2906183
Hawa jamaa wameshindika. Alafu mtu mwenye akili timamu unasema wanaiba madini Africa. Nani hapa ulimwenguni mwenye uwezo wa kutengeneza hayo madude
Mchina, Russia wanatamani lakini wapi. Wanaishia Ku copy na kupaste tu USA ni habari nyingine
Tuache utani, jamaa wabunifu sana
wewe mwenyewe ulisha wahi kwenda chini ya bahari?Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna binadamu aliyewahi kutoka nje ya dunia kwenda kwenye mwezi au sayari nyingine. NASA ni waongo wa kutupwa. Hao tunaoona wamefika sijui mwezini siyo kweli, wanaenda chini ya bahari tu huko na kujifanya wako mwezini. Hakuna aliyewahi kufika huko.
Unaweza kunitajia ni silaha gani ya Urusi ambayo ni kopi ya silaha za kimarekani?Nani mwenye akili kati ya aliye gundua kitu na anaye kopi kitu cha mtu aliye gundua?
Tuna linda madini ya watu japo yapo kwenye ardhi yetu.Sisi ni wasimamizi wa madini na sio wamiliki
kijana haelewi soviet union ni naniRudia tena naona lugha inakupiga chenga
WARUSI NI VIRUSI MAMBO YAO WANAYO FANYA UNAWEZA KUSEMA SIO WANADAMU.UJAPATA HISTORY VIZURI KUHUSU WARUSINakukumbusha tu warusi ndo watu wa kwanza kurusha satellite. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo mwezini. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo kwenye sayari ya mars. warusi ndo watu kwanza kurusha space station huko angani
Kwetu hayana thamaniTun
Tuna linda madini ya watu japo yapo kwenye ardhi yetu.
Yana thamani ila kama hayasaidii kupunguza matatizo ya watu sasa yana thamani gani. Leo hii maeneo au mikoa yenye migodi ya madini ndiyo ingepaswa kuongoza kwa kuwa na huduma nzuri za maji,elimu,afya kwa maana ya hospitali kubwa zaidi ya muhimbili na mloganzila, leo hii ingetakiwa watu wawe na miko ya kukimbilia mfano geita huko, Shinyanga na siyo kila mtu aje dar.Kwetu hayana thamani
Wewe ndo unaleta porojo, jamaa kasema kweli
Ukweli kwa wanaporojo kama wewe, ukweli ni kwamba hakuna kama USWewe ndo unaleta porojo, jamaa kasema kweli kabisa