Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

Asante mkuu, naheshimu sana maoni yako, jitahidi pia kusoma sana uongeze maarifa.
Nasoma sana na kila siku naongeza maarifa, nami nakushauri achana na porojo kubari uhalisia
 
Juzi Kuna raia wa china wamekamatwa wakitaka kuzamia US ila sijawahi kusikia wamarekani wakikamatwa kutoka kuzamia China.
 
Ila kwenye suala la kupeleka binadam mwezini hapa bado sijawaelewa wamarekani. Mbona hadi leo miaka 50 baada ya Apolo wameshindwa kurudi? Juzi wamepambana wamepeleka ka mtambo bahati mbaya kakaangukia mgongo kwahiyo huwenda kasifanye kazi iliyokusudiwa. Au dokyumaa za kwenda mwezini walizipoteza so hawana reference wafanyeje waweze kutua tena mwezini.
 
Watu wengi wanasema ile ilikua propaganda tu, Hollywood walitengeneza kile kideo cha jamaa mwezini na hio yote ni kwa ajili ya kuonyesha ubavu mbele ya USSR ila tokea kipindi hiko hawajawah kabisa kurudia hilo tukio walilosema lilifanyika enzi hizo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi Kuna raia wa china wamekamatwa wakitaka kuzamia US ila sijawahi kusikia wamarekani wakikamatwa kutoka kuzamia China.
Ndo huwa nashangaa mie hapo tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi Kuna raia wa china wamekamatwa wakitaka kuzamia US ila sijawahi kusikia wamarekani wakikamatwa kutoka kuzamia China.
Achana na propaganda za failed citizens hizo.
China raia behind poverty line in 14% of Chinese population .
China kama ukitaka kufanikiwa unafanikiwa ila ukiwa failed kama hao citizens basi huna namna zaidi ya kukimbia nje.
Hiyo USA ina walala nje kibao despite hakuna raia aliyetaka kuzamia nje ya USA.
Ila USA ina mafukara kibao tuu tena idadi iliongezeka kipindi cha covid 19.
 
Ndo huwa nashangaa mie hapo tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msi fall kwenye propags za failed citizens.
Mbona mamilioni ya wachina wako kwao wanajenga nchi na wananufaika?
 
Juzi Kuna raia wa china wamekamatwa wakitaka kuzamia US ila sijawahi kusikia wamarekani wakikamatwa kutoka kuzamia China.
mbona kuna mwanajeshi wa marekani alikimbilia kwa kiduku kabisa ...huyo nae anatoa picha gani
 
USA na EU wanategemea kinu Cha Urusi kiitwacho Cosmodrome kurusha Wana anga kwenda kwenye kitua Cha anga Cha kimataifa yaani International Space Station (ISS)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…