Wanapanda sana ndege kuliko mabasi.Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
Chato international airport! Runway kilometer 3mkuu tuletee na chato airport
Watanzania bana.... Nguvu nyingi inatumika kuonyesha kuwa haiwezekani... Sio inawezekanaHii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
Maamuzi ya watawala tu waliopo. Hiyo ni stand gari zinaweza kuingia na kutoka.Maghufuli bhana badala ya kureinforce Mwanza sehemu ambayo chochote ukiendeleza lazima kilipe anaenda kule chato , moja ya akili mbovu Sana hyo
Jpm alikuwa na lengo zuri sana.alijitahidi kupanua miji .. unaikumbuka iliyokuwa stendi ya zamani Dodoma???asingepambana kujenga nane nane pale ingekuwa je??? Majengo sokoni na barabara zile . nakumbuka vizuri aliahidi kujenga barabara mpya hapa Ihumwa ambayo ingeanzia stesheni hadi barabara kuu ya Dodoma_dar.. lakini nenda kaangalie saa ivi njia ilivyo.msimlalamikie sana kama vile yeye ndiye genius wa bongoMiradi mingi ilistahili ijengwe Mwanza badala ya Chato kutokana na aidha wingi wa uhitaji wa jambo husika, kulingana na idadi wa wakazi wa eneo husika.
Gharama za uendeshaji unatakiwa utokane na inavyojiendesha sio kutegemea ruzukuHii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
SIO KWELI!! Hii video itakuwa ya zamani sana... kabla ya stendi kuanza kutumika. Kwamba hakuna gari wala mtu yeyote? Can you show some respect to God your creator, at least kwa kupost taarifa yenye ukweli?Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
.Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
Mtahangaika sana wakora mbwa nyieHii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
Vitu kama hivyo ndivyo vinavyothibitisha ushamba na uendawazimu wa MagufuliHii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
Au hata Biharamulo ambayo aliiua kwa makusudi.Bora hata angeweka Geita au katoro
.Mods tunaomba hio video iondolewe mara Moja
Na huu Uzi ufutwe mara Moja
Kila comment humu Ina m portray JPM aonekane ni mtu mbaya
SIO MANENO YANGU...ALISIKIKA MCHANGIAJI MMOJA
Cc
Aisee 🙏🏽Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?
Umefika Chato lakini mkuu? Unajua magari mangapi yanaanzia safari zake Chato? Unajua magari mangapi yanapita Chato kuelekea Mwanza kutokea Bukoba na kutokea Bukoba kwenda Mwanza?SIO KWELI!! Hii video itakuwa ya zamani sana... kabla ya stendi kuanza kutumika. Kwamba hakuna gari wala mtu yeyote? Can you show some respect to God your creator, at least kwa kupost taarifa yenye ukweli?
Aisee hata baiskeli hakuna! Sasa kule uwanja wa ndege itakuwaje, miti itakuwa imeanza kuota. Niliwaambia kuna mengi tu Magufuli alifanya bila weledi na ni hasara kwa taifa letu.Hii ndiyo hali ilivyo katika stendi ya mabasi chato, Je tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je Nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha wananchi?