Achana na story za Martin mzeehttps://youtu.be/zih1pakHtmQHakika hii nchi watanzania tumepitia mitihani mikubwa.
Tazama miradi hapo chini jinsi inavyoonekana sasa hivi inaoza.
Kwa mtanzania lazima upate uchungu kwa upotevu huu wa mali za umma.View attachment 2552696
.Je hii ni kweli?
Yale yale ya Joseph-Désiré Mobutu alomaarufu km Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga pale GbadoliteJe hii ni kweli?
Kabisa alisema lisu na imekamilikaYale yale ya Joseph-Désiré Mobutu alomaarufu km Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga pale Gbadolite
Na ile Chato airport vipi?Hawana akili ya kufikiria na hili, hiyo project haiwezi kuwa hasara ikiwa huduma za kijamii na idadi ya watu vinaongezeka, hii ndo namna bora ya kujenga na kuendeleza miji.
Poleni sana wana chatouChato imefiwa.Tuwape pole.
Kuku wa ZAGAMBAMobutu Seseko alifanya kama hivi
Ukwendreeeeeee hukoLengo zuri lipi?
Alikuwa mwizi tu
One of the biggest white elephants ever! Leo tusingekuwa tunaongelea kukopa 5 tr/- kulipa hati fungani zilizoiva!Hakika hii nchi watanzania tumepitia mitihani mikubwa.
Tazama miradi hapo chini jinsi inavyoonekana sasa hivi inaoza.
Kwa mtanzania lazima upate uchungu kwa upotevu huu wa mali za umma.View attachment 2552696
Kuna tofauti kubwa kati ya Mobutu na hayo majengo ya Chato, Mobutu alijenga majengo kwaajili ya makazi yake, lakini sio kwa hayo ya umma hapo Chato.Nilitamani uone mobutu's gbadolite , halafu uje utofautishe hapa na hIzi picha za chato
Watu walitabiri haya kabla hata kifo cha jpm
Hiyo mipasho peleka kule kwa wajinga wenzako fbUkwendreeeeeee huko
Not just Necessary say "must" sema must x 10 rudia tena ikukae kichwani. Ilikuwa ni lazima kwani magapi yamefanyika mikoa mingine tena makubwa? Nakuuliza ni project ngapi jpm wetu alizifanya sehemu tofati na chato iweje hako kawe gumzo?Sio swala la kuendeleza, hapo pamekamilika tatizo watumiaji hakuna.
Was it necessary?
Ati utumiwe na nani kwani chato hakuna watu? Haya itumiwe na mbuzi na ng'ombeWananchi wenyewe walikuwa hawaihitaji yeye alimejengea nani? Waiendeleze itumiwe na nani?
Sasa hasira za nini? Haya tuambie tangu huu mwaka umeanza zimetua ndege ngapi pale chato International Airport?Sasa mnalalamika nini? Nani kawakataza serikali wasiendeleze? Alie anzisha alikuwa na lengo zuri kwa wananchi..
Basi nendeni mbomoe na mabati pelekeni. Project ngapi za jpm zimetekekezwa?
Mnajifanya kujizima data.
Labda atakwambia ndege kongoni wanao kulaga dagaa wanao anikwa paleSasa hasira za nini? Haya tuambie tangu huu mwaka umeanza zimetua ndege ngapi pale chato International Airport?
Ushauri mzuri sana na sisi kama raia wema kazi yetu ni kukosoa na kushauri pia.
Hasira za nini wewe sukuma gang?Ati utumiwe na nani kwani chato hakuna watu? Haya itumiwe na mbuzi na ng'ombe
Kwahiyo unatwambia kuwa wewe ni mbuzi?Ati utumiwe na nani kwani chato hakuna watu? Haya itumiwe na mbuzi na ng'ombe