Napenda kuhama ila hata hela ya paspoti sina.Hama dunia ni kubwa tu , using,ang'ane sehemu moja wewe sio mti.
Dah pole ni mtihani kweliNapenda kuhama ila hata hela ya paspoti sina.
Kwa nini isiwe madawa wakati zote hizo ni haramu tu?Tafuta hata kwa njia haramu ila tu usiuze madawa. Mbona njia kibao, nenda boda huko kuna biashara kibao kwa mwezi hukosi saving mil 2
madawa jau mwanangu ukidakwa imeisha hiyo ila hizi zingine unakwepana na tra hata wakikushika unawapoza kiaina wanakuelewa tofauti drugzKwa nini isiwe madawa wakati zote hizo ni haramu tu?
Auze gongo dumu la lita 20 likikata kwa rejereja kuna faida ya 80k🤣🤣🤣madawa jau mwanangu ukidakwa imeisha hiyo ila hizi zingine unakwepana na tra hata wakikushika unawapoza kiaina wanakuelewa tofauti drugz
Inauma sana kuona serikali iko busy kujisifia kukusanya kodi nyingi kutoka kwa wananchi, huku kukiwa hakuna mzunguko mzuri wa biashara! Halafu wakati huo huo watu wachache ambao wana nafasi nyeti serikalini unakuta wanaporomosha tu majumba na kununua magari ya kifahari.Yani hali yetu ni tete sana labda hao wenye mirija ya ufisadi kwao mambo yao safi.Yani toka mwaka uanze jadi sasa biashara hazijachangamka mzunguko wa hela tabu tu.
Kweli kabisa ndugu yangu!! Sijui maandiko yanataka kutimia kuwa hakutakuwa kuuza Wala kununua kama huna alama ya 666!?Yani hali yetu ni tete sana labda hao wenye mirija ya ufisadi kwao mambo yao safi.Yani toka mwaka uanze jadi sasa biashara hazijachangamka mzunguko wa hela tabu tu.
Auze gongo dumu la lita 20 likikata kwa rejereja kuna faida ya 80k