Hali imekuwa ngumu sana kwa sisi tunaotafuta kwa njia halali

Hali imekuwa ngumu sana kwa sisi tunaotafuta kwa njia halali

Biashara zimeharobika Sana. Halafu watu wasiolipa Kodi ndiyo wanaongezeka na wengi kati yao ndiyo wanaofanikiwa huku wafuata Sheria na walipa Kodi mitaji inazidi kukata.

Siku hizi hata nyumba zilizowekwa dhamana zinapouzwa na mabenki watu hawazichangamkii kama zamani.

Kukopa kwa ajili ya kuendesha biashara imekuwa ni sawa na kutoa dhamana zako zichukuliwe na Benki.
 
Back
Top Bottom