Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Unakonesheni nayo? Pa kuchukua mzigo? Mie wateja uhakika sana hapa tu jf watazigombania 😂😂😂😂Wote tunasaka bro , tufanye mchakato nikutumie mzigo wa vifaa utamu kwa wadada bro
Unakonesheni nayo? Pa kuchukua mzigo? Mie wateja uhakika sana hapa tu jf watazigombania 😂😂😂😂Wote tunasaka bro , tufanye mchakato nikutumie mzigo wa vifaa utamu kwa wadada bro
Biashara ya plastic thang kwa wadadaHii ni biashara gan mkuu
Kama unaona hamna tatzo wee uza tu mkuu kikubwa mkono uende kinywanAkiuza madawa kuna tatizo gani?
Tufanye seriously broUnakonesheni nayo? Pa kuchukua mzigo? Mie wateja uhakika sana hapa tu jf watazigombania 😂😂😂😂
Mi nipo serious kabisaTufanye seriously bro
Yale wanajichokonolea kunako auBiashara ya plastic thang kwa wadada
Ngoja nilewe kwanza then tukutane lile chimbo letu broMi nipo serious kabisa
Bet , sey lessYale wanajichokonolea kunako au
Tupe connectionTafuta hata kwa njia haramu ila tu usiuze madawa. Mbona njia kibao, nenda boda huko kuna biashara kibao kwa mwezi hukosi saving mil 2
Maisha ndiyo yamekuwa hivyo. Watu mijini siku hizi wanakwenda kudoea WI-FI.Dah kutopata 10 kwa kutwa nao mtihani🤔
Hii biashara mkono wako wa kushoto unatakiwa uwe mlaini la sivyo kila siku ni kubadilisha vituo vya polisi soko lipo zanzibar na arusha uhakika 100%Hivi si zimepigwa marufuku au ndo zinasafirishwa kimagendo magendo?
Naomba koneksheni ya hii biashara, wateja ni uhakika
Namanga, tunduma... Jaribu hukoTupe connection
Na ndio Iko hivyo... Mwanzoni ataiona biashara ni chungu lkn akishazizoea njia na heka heka akawa na uhakika wa wateja atapiga hela kiulainiHii biashara mkono wako wa kushoto unatakiwa uwe mlaini la sivyo kila siku ni kubadilisha vituo vya polisi soko lipo zanzibar na arusha uhakika 100%
Nipe connection ya ushirikinaNjia halali unabidi utumie ushirikina.
Hapa kuna watu wenye nguvu upande wa ushirikina na kuna watu wana nguvu upande wa Mungu, ukijichanganya ukaenda upande sio wako unazidi kuharibu.....Njia halali unabidi utumie ushirikina.