Hali imekuwa ngumu sana kwa sisi tunaotafuta kwa njia halali

Yani hali yetu ni tete sana labda hao wenye mirija ya ufisadi kwao mambo yao safi.Yani toka mwaka uanze jadi sasa biashara hazijachangamka mzunguko wa hela tabu tu.
We kutwa upo kwenye mikutano ya machadema, ukipumzika kdg umo humu jf, kazi utafanya saa ngapi!!
 
Acha dharau,mikutano inafanyika mikoa na wilaya tofauti Nchini sasa hata kama mtu anaupenzi ataweza kusafiri kuhudhuria yote?
 
Yani hali yetu ni tete sana labda hao wenye mirija ya ufisadi kwao mambo yao safi.Yani toka mwaka uanze jadi sasa biashara hazijachangamka mzunguko wa hela tabu tu.
. NJIA KUU FOLENI...pitia short cut. Utanishukuru.
 
Yani hali yetu ni tete sana labda hao wenye mirija ya ufisadi kwao mambo yao safi.Yani toka mwaka uanze jadi sasa biashara hazijachangamka mzunguko wa hela tabu tu.
Anzisha danguro, halina msimu, inalipa muda wote.
 
Biashara zimeharobika Sana. Halafu watu wasiolipa Kodi ndiyo wanaongezeka na wengi kati yao ndiyo wanaofanikiwa huku wafuata Sheria na walipa Kodi mitaji inazidi kukata.

Siku hizi hata nyumba zilizowekwa dhamana zinapouzwa na mabenki watu hawazichangamkii kama zamani.

Kukopa kwa ajili ya kuendesha biashara imekuwa ni sawa na kutoa dhamana zako zichukuliwe na Benki.
Kabisa mkuu.uchumi sio mzuri.
 
LAKINI unaambiwa mama hana deni kwa watanzania. Kafanya kila kitu.
 
Umenikumbusha enzi za jiwe tulikuwa tunaona Biashara zenye kona kona zinajifunga zenyewe kweli kutafuta hela kwa njia halali ni kazi ngumu sana sometimes nawaza hata sipati jibu kumbe tuko wengi sana
 
Hatari ndg.
 
LAKINI unaambiwa mama hana deni kwa watanzania. Kafanya kila kitu.
Hana deni kwa wenzake ambao bilions zinatumika kwa matumizi yasiyo na tija na wanakausha wakati wananchi tunateseka.
 
Back
Top Bottom