Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Andiko Bora kabisa. Fuata njia itakayokutoa upande wa pili!Hapa kuna watu wenye nguvu upande wa ushirikina na kuna watu wana nguvu upande wa Mungu, ukijichanganya ukaenda upande sio wako unazidi kuharibu.....
hii nshaiexperience, mi nikijichanganya tu na vidawa naharibu š nikifunga na kuomba vitu vinapangika.
Ni vema mtu ajijue nguvu zake zilipo
DR SANTOS kabla ya koneksheni una uhakika nguvu zako zipo huko?