Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
the worth of money is not in pssessio,but in its use.likewise to ur brain... i said u must be sick upstairs.
Wewe kibibi bado huja pata mme tuona upweke una kusumbua njoo nikuoe angalau kwa siku mbili maana jana niliona unamtaka lema...
 
Kwanini Zitto na Siyo Nape, Mwigulu na wapumbavu wenzao...
 
Kwani wewe jinsia gani, na kwani Ben amesema anataka kupendwa...
 
Mbona mnapata shida sana kumjibu Ben yee kayaweka mab wazi wateni hao waume zenu waje wajibu siyo ujinga unatuletea, kama unataka kujua wahusia wa hiyo muvi si umuulize Mwigulu, nape na wajinga wenzao...
 



Threads mpya za kila siku kutoka kwa ben juu ya ishu ya Lwakatare?? Niwekee link moja tu nje ya hii tuliyopo mkuu nijiridhishe. Nina hofu ya kukuita mzushi katika hili.
 
Mbona mnapata shida sana kumjibu Ben yee kayaweka mab wazi wateni hao waume zenu waje wajibu siyo ujinga unatuletea, kama unataka kujua wahusia wa hiyo muvi si umuulize Mwigulu, nape na wajinga wenzao...

sawa,ntamuuliza.hope am done with u.
 

huyu ni Pasco
 
Last edited by a moderator:

Hakuna anayezaliwa huku akijua atakuwa nani,look here,nitasimamia nachokiamini nasisitiza.
maneno yenu hayatazuia mpango wa Mungu kwenye maisha yangu,what do i mean,what you spoke are the results.

hapa issue nani muhusika,umenisoma umenielewa,huu si wakati wa kumungunya maneno.
lastly,time is over the bell is ringing,everything ,i mean everything shall be out.
 
Last edited by a moderator:
Sielewi tatizo ni nini kwani vijana mmejawa na moyo wa visasi visivyokua na maana ni vyema mka kaa chini mfikirie upya mnataka nini? Hizi siasa zenu za visasi zitawafikisha pabaya
 
Laiti hizi nguvu na rasilimali zinazotumika kuisambaratisha cdm, ccm wangezitumia kwa wananchi, muda huu wangekuwa wanapunga upepo.
 
Duh, kweli kazi ipo, hii sentensi haikupaswa kutoka kwa mtu kama wewe, sometimes ni bora kukaa kinya kuliko kutoa statements kama hizi kwa mtu wa calibre yako!

Niwe kimya kwa mangapi,nipe sheria inayozuia kusema hasa pale napokuwa na imani naninacho kisema.

wewe ni muhusika?
 

Irony Lady...
 
Kidumu chama cha mapinduzi!!

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…