...so you mean Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Zuberi Kabwe,anahusika? ebu jifunze kuwa na busara wewe mwanamke, maana usijemgombanisha Dr Slaa na kiongozi mwenzake, shame on you...
mapambano yameiva, tangu nianze kufatilia siasa za tanzania sijawai ona mapambano ya namna hii. Vyama vyote vya siasa vya upinzani vilikufa kupitia hoja nyepesi sana kama za udini, ukabila nk. Baada ya chadema kuvuka hatua ya udini, ukabila sasa tupo kwenye hatua ya mwisho, nayo ni ya ugaidi. Kweli tunapita kwenye tanuru la kusafishwa, hakika tutaiva kwa mapambano ya 2015. Naomba tuendelee kusafishwa, wasaliti wote, majambazi wote ndani na nje ya chadema wataumbuka siku si nyingi.
Mungu yupo upande wa wenye haki, viva chadema.
Mapambano yameiva, tangu nianze kufatilia siasa za Tanzania sijawai ona mapambano ya namna hii. Vyama vyote vya siasa vya upinzani vilikufa kupitia hoja nyepesi sana kama za UDINI, UKABILA nk. Baada ya CHADEMA kuvuka hatua ya UDINI, UKABILA sasa tupo kwenye hatua ya mwisho, nayo ni ya UGAIDI. Kweli tunapita kwenye tanuru la kusafishwa, hakika tutaiva kwa mapambano ya 2015. Naomba tuendelee kusafishwa, wasaliti wote, majambazi wote ndani na nje ya CHADEMA wataumbuka siku si nyingi.
Mungu yupo upande wa wenye haki, viva CHADEMA.
Mkuu Mingoi, kama unamheshimu Adamu, lazima umuheshimu Eva, hata kama atakuvunjia vipi heshima, kwa ajili ya Adam, utaendelea kumheshimu tuu na ndicho ninachofanya, heshima mbele!.
Pasco.
Mkuu Saanane,
Hii sasa mnaenda mbali sana. Kijana si una elimu yako nzuri tu?
Tafuta kazi maana siasa za namna hii ni hatari mno hata kwako mwenyewe.
Ni ushauri?
Hao wawili upande wa kulia kwa Zitto ni nani?
Threads mpya za kila siku kutoka kwa ben juu ya ishu ya Lwakatare?? Niwekee link moja tu nje ya hii tuliyopo mkuu nijiridhishe. Nina hofu ya kukuita mzushi katika hili.
Mkuu Josephine, kama hata wewe unaamini natetea kula yangu!, then...
Kwa heshima yako, nareserve my comments.
Thanks.
Pasco.
Mtanipiga mawe, lakini msimamo
wangu tokea kitambo, sasa na milele ni kuwa
Ben
Saanane anatumika kuiua CHADEMA. Time will tell...
naliona waziwazi anguko lako... labda mungu kakunyima busara za kuona hatari iliyo mbele yako.. na kwa sababu wewe ni JICHO LA KUFA..... Hakuna cha kukuokoa.Kuchukiwa au kupendwa na wewe kuna hasara au faida gani kama maelezo uliyotoa hapa juu ndiyo busara na weledi wenyewe?
hivi we saanane unadhani wewe ukiondoka chadema na zitto akiondoka nani ataondoka na mamilioni?mnavyodhani kuhusu zitto sio kabisa,ni mhimili mkubwa na mjenga hoja muhimu bungeni na nje ya bunge.endelea kutuharibia chama chetu.mambo ya masalia yalishaisha bado unaendelea na upuuzi huu.
upuuzi ni kufanya kitu uku ukijua madhara na kuendelea kufanya
naliona waziwazi anguko lako... labda mungu kakunyima busara za kuona hatari iliyo mbele yako.. na kwa sababu wewe ni JICHO LA KUFA..... Hakuna cha kukuokoa.
maisha yako kisiasa yamegeuka mafupi mithili ya maisha ya funza na huna akili sawia za kuona hilo.. kwa heri dogo, something terrible with vivid evidence is cooking beneath your feet..... you created it and you will face it. accumulate your tears though crying wont save you dogo and all of your supporters will deny you when the time come. huu ni mtazamo toka kwa mtu aneweza kuunganisha matukio
Una heshima gani mnafiki wewe.Endelea kuwa MC wa kitchen Party
Huijui siasa wewe.Achana na CHADEMA endelea kumlamba miguu Lowassa
Mwanume mzima kuwa MC kwenye kitchen party kwa umri huo huoni tatatizo kulingana na mila za kiafrika?
naliona waziwazi anguko lako... labda mungu kakunyima busara za kuona hatari iliyo mbele yako.. na kwa sababu wewe ni JICHO LA KUFA..... Hakuna cha kukuokoa.
maisha yako kisiasa yamegeuka mafupi mithili ya maisha ya funza na huna akili sawia za kuona hilo.. kwa heri dogo, something terrible with vivid evidence is cooking beneath your feet..... you created it and you will face it. accumulate your tears though crying wont save you dogo and all of your supporters will deny you when the time come. huu ni mtazamo toka kwa mtu aneweza kuunganisha matukio
Ignoring some malicious comments kutoka kwa wale wanaonufaika na mipango hii miovu dhidi ya CHADEMA,na kwa kupuuzia ushauri wa maadui wa mabadiliko pamoja na kuendelea kupuuzia zile primitive comments kwa wale wenye mawazo mgando :
Msimamo wangu uko pale pale kwamba wanaostahili kuhojiwa kulingana na title na contents za thread hii kutokana na maneno yao wenyewe Ni ndugu Mwigulu Nchemba,Zitto kabwe,Festo Sanga,Nape Nnauye(aliyetuma vijana wake hapa kutoa matusi na kujifanya watu wa CHADEMA),Mtela mwampamba,Juliana Shonza na Habibu Mchange.Pia yule waziri mwenye maadui 11 anastahili kuhojiwa
-Hapa ni jinai,na jinai haina itikadi.Kama watu walidai walikua na taarifa ya mipango ya mauaji na wengine kudai walikoswa koswa ni kwa nini wasihojiwe?Hata kama kuna kiongozi wangu ni bora ahojiwe ili mipango hiyo ijulikane ili kukata mzizi wa fitna.
Tunataka siasa za uwazi na ukweli.Ni jambo la ajabu sana kwa wanasiasa vijana ambao ni wasomi kutumia mbinu chafu za kutunga tu story kwa maslahi yao.Siasa za kizandiki ni lazima tuachane nazo kama tunataka mabadiliko ya kweli.
Kwa wale waliochangia na wanaoendelea kuchangia thread hii objectively na kwa staha,I admire the fact that you didn't let' these guys deter you... They were bent on frustrating this thread, and like some have said, doing due and thorough investigation is highly essential not to call innocent people names the thread had much more advantages... Keep it up...
Tusonge mbele,Msimamo wangu ndiyo huo huo na majina hayo hayo.hayapungui labda yaongezeke otherwise sipunguzi jina la mtu hapo even at gun point!Maelezo ya thread na reference yanatosha kuelezea ni kwa nini wahojiwe!
kwa afya ya chama cha demokrasia na maendeleo ni bora ukweli ukajulikana ... kwa style hii sidhani kama kuna neemaMkuu hata mimi nimeshangaa. Josephine ni ubavu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA sasa anaposema hivyo anmu implicate hata Katibu Mkuu Mwenyewe; yaani Katibu Mkuu anasema Naibu Katibu Mkuu wake ni msaliti?
Hivi Zitto ana nini? Kama mnamsema ni Msaliti kwa nini msimchukulie hatua mmebaki mnalalama tu, kuchukua hatua hakuna? Ni uoga ama au nini? Kama mnalalama bila kuchukua hatua basi hayo ni Majungu kama majungu mengine tu ila kwa bahati mbaya majungu hayo yanapigwa na watu ambao hawakutegemewa kuyapiga!