Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
Kwa hili wala halihitaji propaganda kwani ngoma ya wachawi imeshapigwa kila mchawi atacheza mwenyewe.
Hahaha...Ming'oi....Yaani katika miaka mingi ya kusoma jamiiforums,sijacheka kama nilivyocheka baada ya kusoma hilo semo lako...unamaanisha nini lakini?
 
Swali kwa Saanane?
Hivi umewahi kukutana na Ludovick?
Ludovick ni mwanachama wa CDM?
Slaa ana mjua Ludovick?
Alikuwepo kwenye kikao cj=ha kuwan'goa kina shosha na mwampamba?
 



i like that kind of spirit, kip it up ben. U'll neva walk alone, hundred of soldierz tu pamoja nawe kuhakikisha CHADEMA inaleta ukomboz wa hii nchi.

Tutafungwa kwa kuitwa wahaini, magaidi au namna yoyote watayopenda kutuita but mwisho wa siku we gonna sing a song of freedom.

Me love much CHADEMA


We forward in this generation
Triumphantly.
Won't you help to sing
This songs of freedom
'Cause all I ever have:
Redemption songs;
Redemption songs.
Emancipate yourselves from mental
slavery;
None but ourselves can free our minds.
Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them can stop the time.
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look? Ooh!
Some say it's just a part of it:
We've got to fullfil the book.
Won't you help to sing
This songs of freedom-
'Cause all I ever have:
Redemption songs;
Redemption songs;
Redemption songs.
Emancipate yourselves from mental
slavery;
None but ourselves can free our mind.
Wo! Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them-a can-a stop-a the
time.
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look?
Yes, some say it's just a part of it:
We've got to fullfil the book.
Won't you have to sing
This songs of freedom? -
'Cause all I ever had:
Redemption songs -
 

nduka ole wake amtegemeaye binadamu kama kinga yake.vipi kama ulivyotumika ukiwa udsm wakati jk anasaka uraisi kwa ahadi za kupewa nafasi za ukuu wa wilaya diz time unaside na nani?jioni njema kijana wa tabora
 



Sure ,the time is now mkuu.
 
"Tanzania...Tanzania ......Nakupenda kwa moyo wote....nchi yangu Tanzania....jina lako nia tamu sana." Hivi naomba kujua CCM huu wimbo miaka hii wanauimba kweli
 
Unajua Ben unajipa jina kubwa wakati ni mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania. Unaenda kuanzisha ligi na kiongozi kama Zitto kweli unategemea nini? Ushauri wa bure, tafuta kazi ndugu yangu. Acha kusafiria nyota ya Zitto, huyo sio level yako.
 
nduka ole wake amtegemeaye binadamu kama kinga yake.vipi kama ulivyotumika ukiwa udsm wakati jk anasaka uraisi kwa ahadi za kupewa nafasi za ukuu wa wilaya diz time unaside na nani?jioni njema kijana wa tabora

Na side na wazee wa sumu na dawa za usingizi.
 
Hizi siasa za Tanzania sasa zinatia kinyaa, hivi tunaelekea wapi..........hizi habari za kutoana roho mbona zimewakaa wanasiasa wetu midomoni namna hii?
 

Kijana huwa napenda response zako. U really know what u are doing. Mungu akusaidie usikate tamaa.
 
Hizi siasa za Tanzania sasa zinatia kinyaa, hivi tunaelekea wapi..........hizi habari za kutoana roho mbona zimewakaa wanasiasa wetu midomoni namna hii?
Hamna kitu hawa,njaa ndio zinawasumbua, we jiulize mtu kama Ben,hana cheo chochote CDM kwa maana hiyo hana mshahara, hana kazi nyingine ya kumuingizia kipato, sasa anaishije humu mjini?
 
siasa ni mchezo mchafu.
ukishaingia jiandae kwa lolote kama kusifiwa, kutekwa, kuuliwa, kulogwa,kupakwa matope nk.
bora nihangaike na vijikazi vyangu tu lakini sio siasa
ben saanane pambana baba ipo siku mtakuja kuikomboa nchi.
 
nimekaa na kutafakari sana matendo maovu na ushetani mkubwa unaoendelea ktk taifa letu, mpaka sasa najiuliza ni kwa nini asa mambo aya yanajitokeza katika taifa tuliloitana ndugu.
Nikafikiria utajiri mkubwa walionao watawala wetu na nikalinganisha na utumwa wa mishahara ya laki laki ya wazazi wetu, nikajiliza kwa niniwakubwa akina sita ,membe nk wanazunguka kulalamika, nikajiuliza kwa nini akina dr slaa na kundi la wapinzani wanapambana kunusuru taifa, nkawaza kwanini dr ulimboka waliipinga serikali ila maumivu yao na ulemavu unahusishwa na wapinzani japo kwa mawazo mepesi sana, nkajiuliza kwa nini akina nape,riz1,mwigulu wanafanya siasa kwenye uhai wa binadamu, nikajiluiza vipi vijisenti,meno ya ndovu na migodi vinaliza watanzania,na sasa najiuliza wanasiasa wanavorushiana mpira kwenye uhai wa wananchi...........

nikajiuliza kama usalama wa taifa wametutupa wananchi, nikajiuliza kwa nini ngugu kova,na wanausalama wanafanya siasa na dolidoli kwenye uhai, nikajiluliza kwa nini naishi sasa??kwa nini mola amenileta kwenye kizazi iki kidhalimu, nkalala nkaota taifa linaendeshwa kiaina. Nikamshukuru Mungu kwa utawala huu wa mfano,nikajua mola ana lengo na hawa watu...nikamshukuru Mungu kwa yote. Nikazidi kujichanganya, nkajiuliza kwa nini tunauana???kwa nini tunasana?watesi hawajulikani!!!wateswao wananusurika kifo ila wanakaa kimya kama vile walikuwa wanaigiza wakati mashuhuda tunaona waliteseka vibaya, nikajiuliza ok wwashiriki wako kimya, je serikali inayolinda watu wake kisheria?? nikajisemea lazima taifa liwe na ujasusi ili kujilinda na kulinda mipaka yake ,lakini mbona ujasusi unapitiliza na kuwa ushetani jamani??

nikasema chadema ,cuf na nccr ndo wabaya, ila nkajiliza kwa sisi ambao si wanasiasa kwa nini tunateseka?rasilimali zinagawanya kindugu, mpinzani akisema wanasema hapana,mwana wa ndani akikana ubaya antegwa sumu au ajali ya gari anakufa alafu kesi anapewa mtu.

Tanzania jamani, kama siasa ni izi, basi rais afute vyama vingi tuwe na rasilimali zetu bila kusema sijui awa chadema awa ccm awa mapandikizi.

Sasa naanza kuichukia Tanzania, natamani nife mapema nisiuone ushetani wa taifa ili,tuendako ni kubaya, sipendi tena kusikia ccm wakiwatupia chadema katika mauaji ambayo hata sisi tunashuhudia wakoloni weusi kutumia dola kuua , mfano kule kw mwangosi, na sipendi tena kusikia chadema wakituumu ccm kwa mauaji na wizi wa rasilimali...tuwe na taifa la wote au Mola uje utwae taifa ili la wapuuuzi ujenge upya taifa la watanzania.

JAMANI SISI WASIO WANASIASA TUNAANZA KUCHOKA NA UPUUZI WA TAIFA ILI.
KUBALINI JINSI YA KUTUONGOZA AU TUKUBALIANE KUONDOKA KATIKA ULIMWENGU HUU KWA PAMOJA
NI UJINGA KUENDEKEZA SIASA KATIKA UHAI WA TAIFA LETU
TUMECHOKA.
 
Hizi siasa za Tanzania sasa zinatia kinyaa, hivi tunaelekea wapi..........hizi habari za kutoana roho mbona zimewakaa wanasiasa wetu midomoni namna hii?

Mkuu ni kama huyo dogo kwenye avatar yako anavowapa dole la kati.......hawa wanatusahaulisha kuhoji juu ya mabalaza ya katiba, kujadili bajeti, kushuka kwa elimu......na CDM naona wamekwamishwa rasmi katika uzinduzi wa kanda
 
Tanzania Tanzania Nchi yenye mali nyingi watu wengi wa Ulaya aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wanaililia sanaaaaaaaaaaaaaa,..........................
 
Hamna kitu hawa,njaa ndio zinawasumbua, we jiulize mtu kama Ben,hana cheo chochote CDM kwa maana hiyo hana mshahara, hana kazi nyingine ya kumuingizia kipato, sasa anaishije humu mjini?

Mkuu jikite kwenye hoja, unless otherwise huyo Ben huwa anakula kwako............
 
Unajua Ben unajipa jina kubwa wakati ni mtu mdogo sana kwenye siasa za Tanzania. Unaenda kuanzisha ligi na kiongozi kama Zitto kweli unategemea nini? Ushauri wa bure, tafuta kazi ndugu yangu. Acha kusafiria nyota ya Zitto, huyo sio level yako.

MaCCM Nape na Mwigulu hawana nyota ya kusafiria? ok na wewe gamba, kamanda Ben si size yako!
 

Mkuu ni kama huyo dogo kwenye avatar yako anavowapa dole la kati.......hawa wanatusahaulisha kuhoji juu ya mabalaza ya katiba, kujadili bajeti, kushuka kwa elimu......na CDM naona wamekwamishwa rasmi katika uzinduzi wa kanda

Kiongozi kweli inatia huzuni, naona kama Taifa limepigwa na tufani fulani hivi kila mtu anajitahidi kujiokoa kwa staili yake, hata ukimkanyaga mwenzako kichwa ili wewe upone ni sawa tu na hakuna anayehoji wala kustuka.....hii sio kawaida na tunapoelekea si salama.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…