Hali ni mbaya, Watanzania wengi wamekuwa masikini zaidi awamu hii ya sita

Hatuwezi kuwa jamii ya wakukima pekee, lakini mfumuko wa bei na utitiri wa kodi unawaumiza hata wakulima.
Toaufumbuzi unalalamika ukumbuke mudahuo unahitajihiduma mm kwaupande wangu naamini ukizalisha vizuri autahofia tozo kwani tozo nikitu kidogo sana kama utazalisha vizuri
 
Tuseme wewe ni mwalimu, utazalisha vizuri kivipi, uibe muda wa mwajiri ukafanye mambo yako?
 
Ukiona ugumu wamaisha unaingia ujuwe mwalim nawanyakazi wengine wamezembea au mkulima kaingiza uvivu kazi yaserekali nikukumbusha kilammoja atimize wajibu wake naona serekali wanaifanya vizuri hakuna serekali itakuwekea noti mfukoni
 
Tuseme wewe ni mwalimu, utazalisha vizuri kivipi, uibe muda wa mwajiri ukafanye mambo yako?
Tusijifichie kwa waalim haohao nawaona ikifika saa 10 wapo bar nawengine wapokwenye maduka yao wanaendelea vizuri ilawewe ndio naona bado hujajuwa ufanye nini kama utaona nafaa kukushauri nipo tayari
 
Ukweli tuuseme tu, jahazi limeanza kumshinda mama. Sio kwa ugumu wa maisha huu!

Yaani Watanzania wanatozwa tozo ambazo hata mkoloni na roho yake mbaya asingethubutu kuwatendea namna hiyo.

Wengi wetu vipato vyetu ni vilevile, lakini gharama za maisha zimepata mara dufu! Kwa lugha rahisi tumekuwa masikini zaidi.

Ni tozo tozo tozo kila kona, wakati huohuo kila kitu kimepanda bei, uwezo wa kufikiri wa mheshimiwa waziri wetu wa fedha umegota kwenye tozo tu. Yeye na timu yake kila wakiumiza vichwa bado jibu lao ni tozo zaidi!

Ni nani anayenufaika na hali hii? Au ndio wale wafanyabishara walioitia 'sirikali' mfukoni wa awamu ilee wamerudi kukusanya vyote walivyopoteza wakati wa JPM?

RIP JPM.
Huwamiaka ishirini ijayo kama hatuja

Huwa
 
Back
Top Bottom