Mwambie Bashiru asitutishe! Nani aliwaambia wafanye ubabe na kutuona wanaCCM ni wajinga? Inakuwaje tunachagua watu wanawakata? Inakuwaje wanachapisha fomu moja ya uraisi na kuzuia watu wasigombee uraisi?
Mwambie pia wanaCCM tuna uhuru kama wananchi wa Tanzania wa kumuunga mgombea urais, ubunge na udiwani wa Chama chochote kile na wala sio dhambi.
MfanoMwambie Bashiru asitutishe! Nani aliwaambia wafanye ubabe na kutuona wanaCCM ni wajinga? Inakuwaje tunachagua watu wanawakata? Inakuwaje wanachapisha fomu moja ya uraisi na kuzuia watu wasigombee uraisi?
Mwambie pia wanaCCM tuna uhuru kama wananchi wa Tanzania wa kumuunga mgombea urais, ubunge na udiwani wa Chama chochote kile na wala sio dhambi.
Yaani wasitutishe!! Na huu ni ushahidi kuwa hawa watu hawastahili tena kuendelea kuongoza hii nchi.Mfano
Shinyanga .unamwacha Masele mwenye kura 158 unamchukua katambi mwenye kura 12.
Momba unamchukua Silinde mwenye kura 112 unamwacha mshindi mwenye kura 288
Babati unamchukua Gekuli mwenye kura 7 unamwacha mshindi mwenye kura 179.Kisa Gekuli ni chakula cha katibu mkuu
Majimbo ni mengi waliyofanya upendeleo .
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime..Wajiulize kwanini wanachama wanasaliti na wakipata jibu wadeal na hiho sababu na si watu. Naamini wapo wanachama wengi wanamapenzi na Lissu na sera zake na watampigia kura hiyo tar 28.
Usijifanye mtoto, Ina maana hujui kwamba nyie CCM ni 'UROHO' wa madaraka ndio unawasumbua!Ingependeza zaidi wajikite kushughulikia sababu zinazowafanya wasaliti.
Mchawi wanaye ndani ya nyumba. Kutoheshimiwa maamuzi ya wajumbe.Ingependeza zaidi wajikite kushughulikia sababu zinazowafanya wasaliti.
Kwani Membe hajafukuzwa?Bashiru anachekesha kweli, hivi anaona ccm ni bonge la chama, eti watamfukuza chama msaliti! Anyway labda kwakuwa wanaccm wengi ni wahalifu na kinga yao ni kuwa ndani ya ccm, hivyo hicho kitisho cha kufukuzwa chama kina maana.
Uwiii. Kumbe. Hii siyo kitu. Kinachosumbua zaidi ni ubabe.Mwenyekiti wa CCM Taifa anatokea,Mkoa wa Geita Kanda ya ziwa, jirani na mkoa wa Geita ni mkoa wa kagera anatokea katibu mkuu wa chama, Kanda ya ziwa. Katibu mwenezi anatokea mkoa wa Mara ,Kanda ya ziwa.mnategemea ccm iko salama?
Gekul sio mchoyo yani sound zako tu unachukua zigo,bia n gharama juu yake yeyeMfano
Shinyanga .unamwacha Masele mwenye kura 158 unamchukua katambi mwenye kura 12.
Momba unamchukua Silinde mwenye kura 112 unamwacha mshindi mwenye kura 288
Babati unamchukua Gekuli mwenye kura 7 unamwacha mshindi mwenye kura 179.Kisa Gekuli ni chakula cha katibu mkuu
Majimbo ni mengi waliyofanya upendeleo .
Membe alifanywaje kwaniBashiru anachekesha kweli, hivi anaona ccm ni bonge la chama, eti watamfukuza chama msaliti! Anyway labda kwakuwa wanaccm wengi ni wahalifu na kinga yao ni kuwa ndani ya ccm, hivyo hicho kitisho cha kufukuzwa chama kina maana.
Mbowe atimuliwa na wanachadema huko hai. Hawamtaki!Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.
Anakemea watu wenye maamuzi yao? Kwani hicho chama ni cha kwake. Ingeluwa busara kuwabembeleza tu ili wavuke huo mto salama. Akae nao ajue sabau za kutaka kukisaliti chama ni nini.Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.
Wanachama wamekaa ccm miaka yote Ila kwa Sasa maisha ya wanachama ni magumu mno.Anakemea watu wenye maamuzi yao? Kwani hicho chama ni cha kwake. Ingeluwa busara kuwabembeleza tu ili wavuke huo mto salama. Akae nao ajue sabau za kutaka kukisaliti chama ni nini.
Jiwe hata mizizi ya dola hana. Jeshi linamlia timing tu. Hataamini kitakachotokea.Uko sahihi Mkapa alikuwa na uwezo wa kukemea lkn kwa hoja, Mwinyi na Kikwete wao ni kucheka tu hewala, aliyepo hana mizizi ya chama ana mizizi ya dola na ubabe ndio maana wanamsaliti kimya kimyaa.
Sasa kwani kumfuta Mtu uanachama kunampunguzia nini, Kwani ni ajira hiyo?Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.
Huyu muuza ndizi vp, asitufokee!Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.
Alipomuondoa alidhani atapata nafuu kumbe ndiyo hayoKifo cha Benjamin mkapa ni pengo kubwa sana kwa CCM