Uchaguzi 2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

Mwambie Bashiru asitutishe! Nani aliwaambia wafanye ubabe na kutuona wanaCCM ni wajinga? Inakuwaje tunachagua watu wanawakata? Inakuwaje wanachapisha fomu moja ya uraisi na kuzuia watu wasigombee uraisi?

Mwambie pia wanaCCM tuna uhuru kama wananchi wa Tanzania wa kumuunga mgombea urais, ubunge na udiwani wa Chama chochote kile na wala sio dhambi.

Wanapendelea wavune nyanya badala ya mbaazi walizopanda?

Na bado.
 
Mtu wajumbe walimpa kura 275 ila akaachwa na kuinuliwa aliyepata kura nne.

Sasa huyu akiwa busy na mambo yake yanayomuingizia kipato na kutoenda kwenye mikutano ya kampeni ndio mnaita usaliti? Acheni hizo CCM

Ni bora zaidi kudeal na issues (mambo yanayohisiwa kuwafanya wakisaliti chama ) kuliko kudeal na individuals
 
Mwambie Bashiru asitutishe! Nani aliwaambia wafanye ubabe na kutuona wanaCCM ni wajinga? Inakuwaje tunachagua watu wanawakata? Inakuwaje wanachapisha fomu moja ya uraisi na kuzuia watu wasigombee uraisi?

Mwambie pia wanaCCM tuna uhuru kama wananchi wa Tanzania wa kumuunga mgombea urais, ubunge na udiwani wa Chama chochote kile na wala sio dhambi.
Mfano
Shinyanga .unamwacha Masele mwenye kura 158 unamchukua katambi mwenye kura 12.
Momba unamchukua Silinde mwenye kura 112 unamwacha mshindi mwenye kura 288
Babati unamchukua Gekuli mwenye kura 7 unamwacha mshindi mwenye kura 179.Kisa Gekuli ni chakula cha katibu mkuu
Majimbo ni mengi waliyofanya upendeleo .
 
Yaani wasitutishe!! Na huu ni ushahidi kuwa hawa watu hawastahili tena kuendelea kuongoza hii nchi.

Ni aibu sana Yaani mchana kweupe unawatisha watu mchana kweupe kama watoto wadogo tena kwa mambo ambayo ni haki zao za msingi.

Katiba inasema kila mtanzania ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, kila mtanzania ana haki ya kumpigia kura yeyote anayeona anafaa sasa how comes anawatisha watu????

Hawa watu wamejimilikisha CCM alafu wanafanya mambo ya kipumbavu kabisa. CCM lazima ipumzike kuwa Chama Tawala mwaka huu ili ijipange vizuri
 
Wajiulize kwanini wanachama wanasaliti na wakipata jibu wadeal na hiho sababu na si watu. Naamini wapo wanachama wengi wanamapenzi na Lissu na sera zake na watampigia kura hiyo tar 28.
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime..

Wakipatana chukua kapu ukavune.!
 
Ingependeza zaidi wajikite kushughulikia sababu zinazowafanya wasaliti.
Usijifanye mtoto, Ina maana hujui kwamba nyie CCM ni 'UROHO' wa madaraka ndio unawasumbua!

Mpo tayari mmwage damu za watanzania ili muendelee kunenepesha matumbo yenu,!
 
Bashiru anachekesha kweli, hivi anaona ccm ni bonge la chama, eti watamfukuza chama msaliti! Anyway labda kwakuwa wanaccm wengi ni wahalifu na kinga yao ni kuwa ndani ya ccm, hivyo hicho kitisho cha kufukuzwa chama kina maana.
Kwani Membe hajafukuzwa?
 
mean while lema anapandisha wagombea wa ccm waombe kura kwenye kampeni yake
 
Mfano
Shinyanga .unamwacha Masele mwenye kura 158 unamchukua katambi mwenye kura 12.
Momba unamchukua Silinde mwenye kura 112 unamwacha mshindi mwenye kura 288
Babati unamchukua Gekuli mwenye kura 7 unamwacha mshindi mwenye kura 179.Kisa Gekuli ni chakula cha katibu mkuu
Majimbo ni mengi waliyofanya upendeleo .
Gekul sio mchoyo yani sound zako tu unachukua zigo,bia n gharama juu yake yeye
 
Bashiru anachekesha kweli, hivi anaona ccm ni bonge la chama, eti watamfukuza chama msaliti! Anyway labda kwakuwa wanaccm wengi ni wahalifu na kinga yao ni kuwa ndani ya ccm, hivyo hicho kitisho cha kufukuzwa chama kina maana.
Membe alifanywaje kwani
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.

Mbowe atimuliwa na wanachadema huko hai. Hawamtaki!
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.

Anakemea watu wenye maamuzi yao? Kwani hicho chama ni cha kwake. Ingeluwa busara kuwabembeleza tu ili wavuke huo mto salama. Akae nao ajue sabau za kutaka kukisaliti chama ni nini.
 
Wanachama wamekaa ccm miaka yote Ila kwa Sasa maisha ya wanachama ni magumu mno.
 
Uko sahihi Mkapa alikuwa na uwezo wa kukemea lkn kwa hoja, Mwinyi na Kikwete wao ni kucheka tu hewala, aliyepo hana mizizi ya chama ana mizizi ya dola na ubabe ndio maana wanamsaliti kimya kimyaa.
Jiwe hata mizizi ya dola hana. Jeshi linamlia timing tu. Hataamini kitakachotokea.
 
Mwanachama ndio mwenye chama na ndio 'boss' kwenye chama...ni vizuri kumsikiliza 'boss' anataka nini kuliko kumpangia chakufanya kumuita msaliti ni kumvunjia heshima
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.

Sasa kwani kumfuta Mtu uanachama kunampunguzia nini, Kwani ni ajira hiyo?
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.

Huyu muuza ndizi vp, asitufokee!
 
Back
Top Bottom