Mwambie Bashiru asitutishe! Nani aliwaambia wafanye ubabe na kutuona wanaCCM ni wajinga? Inakuwaje tunachagua watu wanawakata? Inakuwaje wanachapisha fomu moja ya uraisi na kuzuia watu wasigombee uraisi?
Mwambie pia wanaCCM tuna uhuru kama wananchi wa Tanzania wa kumuunga mgombea urais, ubunge na udiwani wa Chama chochote kile na wala sio dhambi.
Wanapendelea wavune nyanya badala ya mbaazi walizopanda?
Na bado.