peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Yeye akifutwa uanachama atakosa ajira yake.mwanachama Hana Cha kupoteza.Sasa kwani kumfuta Mtu uanachama kunampunguzia nini, Kwani ni ajira hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye akifutwa uanachama atakosa ajira yake.mwanachama Hana Cha kupoteza.Sasa kwani kumfuta Mtu uanachama kunampunguzia nini, Kwani ni ajira hiyo?
Mku haya makundi ya sasa hivi ni zaidi kwani kumbuka hii ccm , Mimi wa ccm asili sina langu na wasionachakwao ndani chama changu ni wengiHayo ni ya kwao Ccm na kila mwaka huwa kuna makundi ndani ya Ccm. Sisi kama Chadema tungejikita kujua hatima ya chama chetu. Hakina hela ya uchaguzi na wagombea wanahali mbaya.
Acha kuhisia mambo,chama chetu kina hali ngumu baadhi ya wagombea hawajaanza kampeni.Mku haya makundi ya sasa hivi ni zaidi kwani kumbuka hii ccm , Mimi wa ccm asili sina langu na wasionachakwao ndani chama changu ni wengi
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.
Unayo elfu kumi mfukoni kwako muda huu?Usidandie treni kwa mbele! Tayari kabla hata ya kura CCM ina ushindi karibu asilimia 50 kutokana na upande wa pili kuuza nafasi zao walizogombea!! Magu anasubiri kuapishwa!! Mtangoja sanaa! Na wale miungu watu imekula kwenu!!! Na wale wapambe wa miungu watu hahaaa! Endeleeni kulamba malimaooo!!
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM 1Zaiwanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.
Hawauitaji wanachama Wana majengo mengi Kama ya vitega uchumiZaidi ya nusu wanampango huo je tutafukuzwa wote ?
Kwani Membe hajafukuzwa?
Mimi najua kafukuzwa,maana kauli ya Ccm ni hivyo. Sasa labda una hisia zako, maana wewe kila kitu ni hisia.Membe kafukuzwa au ccm walidhani cdm wataingia mkenge kama wa Lowassa 2015?
Pamoja na yote hayo.kwa sasa ni nchi halafu chama. Tunaweza kukubali wagombea ubunge "waliobebwa" wajibebe wenyewe mbele ya wananchi lakini kwenye uraisi ni hatari sana kufanya usaliti. Kuna masuala ya msingi ya kuyasimamia kwani angepata fulani ubunge ungenyanyua miguu juu na kuacha kujitafutia riziki? Hawa wanaweza kuadhibiwa kwa kukosa kura lakini kusaliti chama kikakosa uongozi wa kitaifa inaweza kuleta majuto makuu. Ni kama mkatoliki marekani kuchagua democrat ni kuhatarisha wokovu wa roho yako maana imani ya democratic party inapaisha kuzimu sasa pamoja na kasoro zote za Trump ni morally wrong kutompigia kura ukimlinganisha na Biden.Viongozi ndio wamewasaliti wanachama,haiwezekani tunachagua ambao sisi tunaona wanatufaa kutuongoza afu mnakata majina bila sababu za msingi na hazipo wazi. kwa maslahi yenu.yaaani ukiweza kuwainga viongozi wa chama WILAYA na mkoa wanakupa Alama za juu mnakata tuliwachagua kwanyw Kura za maoni.
Ni Bora mgebadilisha utaratibu wagombea wachukue fomu na kurudisha Kisha mkae na kurudisha mnaemtaka kuliko kutusumbua mnatupandisha malor uja kwenye uchaguzi wa chama,i kumbe kuna wapendwa wenu tayari.
Mimi najua kafukuzwa,maana kauli ya Ccm ni hivyo. Sasa labda una hisia zako, maana wewe kila kitu ni hisia.
Tangu kuwa na pande mbili yaani ccm na asili mm nimebaki mtazamaji tuu.Acha kuhisia mambo,chama chetu kina hali ngumu baadhi ya wagombea hawajaanza kampeni.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.
Pamoja na yote hayo.kwa sasa ni nchi halafu chama. Tunaweza kukubali wagombea ubunge "waliobebwa" wajibebe wenyewe mbele ya wananchi lakini kwenye uraisi ni hatari sana kufanya usaliti. Kuna masuala ya msingi ya kuyasimamia kwani angepata fulani ubunge ungenyanyua miguu juu na kuacha kujitafutia riziki? Hawa wanaweza kuadhibiwa kwa kukosa kura lakini kusaliti chama kikakosa uongozi wa kitaifa inaweza kuleta majuto makuu. Ni kama mkatoliki marekani kuchagua democrat ni kuhatarisha wokovu wa roho yako maana imani ya democratic party inapaisha kuzimu sasa pamoja na kasoro zote za Trump ni morally wrong kutompigia kura ukimlinganisha na Biden.
Na haiwezi kubadilika kwa sababu Magufuli anaongozwa na hulka ya ubabe uliopelekea kujibatiza jina la Jiwe. Hawezi kukomaa kisiasa na kiutawala. Angaa mwenzake, Kikwete, wakati anaingia muhula wa pili alikuwa amekomaa kiasi na ndio maana aliweza kusikia kilio cha Watanzania wote (waCCM na wasio waCCM) cha kutaka katiba mpya na akaamua kukifanyia kazi. Kama sio ubishi wa wahafadhina wa ccm, leo hii tungekuwa na katiba mpya ambayo ndio dawa pekee ya mfumo uliochoka, mfumo ambao ndio wenyewe mfumo fisadi. Watu wanawanyooshea vidole watu kama Lowassa nk kuwa ni mafisadi, lakini mfumo tulionao ndio wa kifisadi - maamuzi ya Magufuli ni ya kifisadi, mfumo wa bunge na marupurupu wanayopeana ni ufisadi - haishangazi unaona mama wa watu anaacha heshima zake zote za u-first lady mstaafu anatamani kwenda bungeni kugonga meza! Katiba mpya ya wananchi ingebadilisha upuuzi wote huu!!Hali hii ikiendelea Hadi 2025 CCM itakuwa KANU
Imefika ukingoniNa haiwezi kubadilika kwa sababu Magufuli anaongozwa na hulka ya ubabe uliopelekea kujibatiza jina la Jiwe. Hawezi kukomaa kisiasa na kiutawala. Angaa mwenzake, Kikwete, wakati anaingia muhula wa pili alikuwa amekomaa kiasi na ndio maana aliweza kusikia kilio cha Watanzania wote (waCCM na wasio waCCM) cha kutaka katiba mpya na akaamua kukifanyia kazi. Kama sio ubishi wa wahafadhina wa ccm, leo hii tungekuwa na katiba mpya ambayo ndio dawa pekee ya mfumo uliochoka, mfumo ambao ndio wenyewe mfumo fisadi. Watu wanawanyooshea vidole watu kama Lowassa nk kuwa ni mafisadi, lakini mfumo tulionao ndio wa kifisadi - maamuzi ya Magufuli ni ya kifisadi, mfumo wa bunge na marupurupu wanayopeana ni ufisadi - haishangazi unaona mama wa watu anaacha heshima zake zote za u-first lady mstaafu anatamani kwenda bungeni kugonga meza! Katiba mpya ya wananchi ingebadilisha upuuzi wote huu!!
Wakuu, Katibu Mkuu wa Ccm ametishia kuwafukuza wanaccm ambao wamepanga kumpa kura tundu lisu na kufikia mahali Ya kusema kuwa, watafukuzwa na watataifishwa Mali zao.
Unajua watu wanafanya mzaha na siasa za kutisha na kutumia manguvu pasipo ueredi na mwisho kutatokea anguko kubwa lisilotegemewa, siasa inataka akiri sio nguvu, Katibu badala Ya kutumia maneno Ya busara anatishia watu kuwa atawafukuza huku akijua kuwa kupiga kura ni Siri ya mtu mmoja, hupaswi kutisha watu kisa watapiga kura Kwa mtu mwingne huku ukijua kuwa kura ni Siri, Katibu alipaswa kutafuta sababu Kuu Ya wanaccm kupanga kupiga kura upinxani
Nimeshukuru Sana Ccm kugundua kuwa watu wamepanga kupiga kura Kwa upinzani nikiwemo Mimi Mwana Ccm Kada na kuna watu nawajua zaid ya Mia watapiga kura upinzani, Katibu ameshindwa kutambua kuwa kuweka haya hadharani ameshtua wengne waliokuwa wakinyanyaswa na Mwenyekiti kujiunga kwenye huo msafara
Naomba kumuuliza Katibu kuwa Mwenyekiti Alikuwa anachukua wapinzani anawapa vyeo anatuacha sisi miaka Yote, anawachukua anawapa nafasi za kugombea ubunge huku sisi akikataza katakata hata kuwapinga Leo hiii anatutisha? Haingiii akirini Mimi na watu Wangu tulihangaishwa na upinzani Mwaka 2015 had tukafanikiwa kumweeka madarakani halafau akatudharau kusema kuwa yeye ni Ccm Mpya akatutenga Halafu tuingie kwenye sanduku la kura tumpigie haiwezekani, tutapiga kura Kwa wingi Sana Kwa upinzani liwalo liwe hata atutishie afanye anachofanya sisi tutaonesha hasira zetu kwenye sanduku