Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Hujajibu swali lakini, Lisu aliongea maneno yanayoelekeana na hayo, hakukawishwa tayari ashafunguliwa kesi ya uhaini, huyu alizungumza kuhusu kupoteza watu na tunashuhudia watu wakipotezwa, Jamaa yupo mtaani tu anatesa kwa zamu. Hiyo haki unayoizungumza wewe ni ipi?Upo sahihi mkuu, ni haki yako kuuliza na kupata majibu ya swali lako, so Kuhusu mtu unayemzungumzia, kama alikiuka maadili au sheria, nadhani ni hekima tu hatua stahiki zinatakiwa zichukuliwe kulingana na ushahidi uliopo na kwa kufuata taratibu za haki. Asante
Mkuu 'Kipanga', kwa heshima na taadhima, naomba nikuulize swali ambalo kiuhakika ni swali linalonifikirisha sana kuhusu uandishi wako humu.Upo sahihi mkuu, ni haki yako kuuliza na kupata majibu ya swali lako, so Kuhusu mtu unayemzungumzia, kama alikiuka maadili au sheria, nadhani ni hekima tu hatua stahiki zinatakiwa zichukuliwe kulingana na ushahidi uliopo na kwa kufuata taratibu za haki. Asante
Hata siwajui hao watu aiseeeh. Kwa hii JF ya miaka mtu pekee ninayemfaham ni Paskali mayalaMkuu 'Kipanga', kwa heshima na taadhima, naomba nikuulize swali ambalo kiuhakika ni swali linalonifikirisha sana kuhusu uandishi wako humu.
Je, unao undugu wowote wa karibu, au urafiki tu na mtu aitwae kwa jina la humu JF 'Tlaatlaah'; au mwingine aitwae 'Steve Joel Ntamusana'?
Au tuseme mliwahi kuwa kwenye darasa moja katika masomo yenu popote pale mlipo yapata?
Nijibu tu vizuri, nitakuelewa, mkuu wangu!
Mkuu nimekuuliza swaliHata siwajui hao watu aiseeeh. Kwa hii JF ya miaka mtu pekee ninayemfaham ni Paskali mayala
EEEeeeenHEEEeeeh!Hata siwajui hao watu aiseeeh. Kwa hii JF ya miaka mtu pekee ninayemfaham ni Paskali mayala
Nyumbu unahangaika Bure 😆😆👇👇Hata huoni upumbavu wa unayo yaandika? Kwa nini watu walazimishwe kufunga shughuli zo za kazi?
Kuna sheria inayoelekeza hivyo?
Kama kuna sheria ya namna hiyo ni ya kipumbavu kabisa.
Alafu hap hao ndiyo wanatuongoza ..Hivi Lissu kesho si atakua huru?Huyu mama anapendwa na machawa na manufaika ya teuzi zake tu wale aliowaambia wale kwa urefu wa kamba zao.
Kichwani kwwnyewe hamna kitu!
Kwa kweli kwa Zama hizi za AI jambo linaloitwa Haki ni tungo tata.Hujajibu swali lakini, Lisu aliongea maneno yanayoelekeana na hayo, hakukawishwa tayari ashafunguliwa kesi ya uhaini, huyu alizungumza kuhusu kupoteza watu na tunashuhudia watu wakipotezwa, Jamaa yupo mtaani tu anatesa kwa zamu. Hiyo haki unayoizungumza wewe ni ipi?
Vioja hivi vinasuuza roho yako siyo?Nyumbu unahangaika Bure 😆😆👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DK7RcZGtK1H/?img_index=6&igsh=MWxkNnJ5ZHZwdjRrZQ==
Kikubwa nyumbu mumeumbuka mengine ni kujifarijiVioja hivi vinasuuza roho yako siyo?
"manabaki kuendelea kuwa wamoja"!
Wewe huoni jinsi "nyumbu hubaki kuwa wamoja" katika makundi makubwa hata wanaponyemelewa na simba?
hata sielewi unachozungumzia hapa.Kikubwa nyumbu mumeumbuka mengine ni kujifariji
Nyumbu wa Chadomo kuumbuka,kwani unachangia mada ambayo hujui maudhui yake?hata sielewi unachozungumzia hapa.
Siku zote hukueleza humu kwamba akili yako ni pungufu sana. Sasa hapa kinachokufurahisha sana wewe ni kitu gani hasa?
Wewe ni kinyago tu; karibuni utabaki ukikusanya mavumbi na kusahaulika hapo dirishani utakapokuwa umewekwa kama pambo.Nyumbu wa Chadomo kuumbuka,kwani unachangia mada ambayo hujui maudhui yake?
Msomi ambae hunaelimika ni sawa na mpumbavu mmja tuu.
Msomi usiyeelimika ni sawa na punguani mmja tuuWewe ni kinyago tu; karibuni utabaki ukikusanya mavumbi na kusahaulika hapo dirishani utakapokuwa umewekwa kama pambo.
Sio Rais huyu mwenye jina la Chura Kiziwi alilojipa mwenyewe, labda wengine waliopita..Huu ni upotoshaji. Mahali popote atakapotembelea Mh Rais , maelfu ya wananchi huwa na shauku ya kwenda kumuona
Sasa unataka nipoteze muda hapa nikijibishana na kinyago?Msomi usiyeelimika ni sawa na punguani mmja tuu
Hebu angalia hii video. Huyo ni padri Kitima akiikosoa Serikali kuhusu utawala wa sheria, tena kanisani. Wakatoliki hawajazuiwa kuabudu kwa sababu ya Padre Kitima. Gwajima alikosoa Serikali kuhusu utekaji, waumini wa ufufuo na uzima wamenyimwa kuabudu. Bado nauliza, haki unayoizungumzia wewe ni ipi????Kwa kweli kwa Zama hizi za AI jambo linaloitwa Haki ni tungo tata.
Simiyu ya wapi..?Mimi nko hapa simiyu wewe ni muongoo,
Uko sahihi. Na mimi nimejionea tangu enzi. Mara nyingi wanaosombwa ni wanaCCM wenyewe wajumbe wote kuanzia ngazi ya mtaa au kijiji. Raia asiyemwanachama au asiyejihusisha na siasa hasumbuliwi. Nasema haya through experience na mara kadhaa nimepigiwa simu na mheshimiwa mkuu wa Wilaya kuombwa kuwezesha usafiri kutoka kwenye taasisi yetu ili kuwabeba wajumbe hata pindi za kura za maoni pale anapoona inafaa kuwashirikisha wadau.Hio mbona tangu kitambo mkuu