jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 705
- 1,033
Sasa kwanini tusiache shauku hiyo itumike badala ya kutumia nguvu kubwa ya kuwalazimisha watu kujitokeza kushiriki.Huu ni upotoshaji. Mahali popote atakapotembelea Mh Rais , maelfu ya wananchi huwa na shauku ya kwenda kumuona
Heshima ya kushurutishana?!Ni ishara ya kutii na kuheshimu mamlaka. Tatizo liko wapi ?
Shangaa tu, ila nakusihi ukisikia hodi asubuhi hii hapo nyumbani kwako usifungue mlango kabla ya kujuwa ni nani, utanishukuru baadaye ukiwa mafichoni.Hii ni hatari.
Mzee unavyoandika utafikiri una uhakika kila mtu anafikika kirahisi. By the way kama huwa unafuatilia misafara ya Mh Rais angalia mmoja ya walinzi mwenye mwili wa wastani wa mazoezi na eyeglasses nyeupe, mrefu wa kadri na mwenye rangi maji ya kunde, basi huyo mtu ni mimiShangaa tu, ila nakusihi ukisikia hodi asubuhi hii hapo nyumbani kwako usifungue mlango kabla ya kujuwa ni nani, utanishukuru baadaye ukiwa mafichoni.
Wanaoshurutishwa ni walìokula kiapo cha utii kwa Mh Rais na sì raia wa kawaidaHeshima ya kushurutishana?!
Huo ni mtazamo wa kibaguzi na wa kizamani. Kiongozi mzuri haangaliwi kwa jinsia bali uwezo, maono na uadilifu wake. Imani za jadi haziwezi kuwa kisingizio cha kuzuia wanawake kushiriki uongozi. Dunia inabadilika, na maendeleo hayawezi kufikiwa bila ushiriki wa wote—wanaume na wanawake. Kujitokeza kwa hiari ni bora, lakini jamii pia inahitaji kuelimishwa kubadilika na kuondokana na mila kandamizi.Sasa kwanini tusiache shauku hiyo itumike badala ya kutumia nguvu kubwa ya kuwalazimisha watu kujitokeza kushiriki.
Usichokijua ni kwamba desturi ya watu wa Simiyu hawaamini katika uongozi wa mwanamke katika ngazi yeyote ya kimaamuzi (labda katika vikundi vya kina mama) ndio maana huwezi kuta sehemu yeyote kuna N'sumba N'tale wa kike kwenye nzengo yeyote ile huko.
KUdumisha uzalendokumuona kwa lipi la maana
Lete hizo picha tena video. Nyie mbwa koko ni km sisimizi mbele ya Rais
Heshima Ya Namna Hiyo Haifai Popote PaleHeshima ya kushurutishana?!
Nasikia oda imetoka wagonjwa hospitalini watolewe wakamshangile raisHali ni tete hapa mkoani Simiyu. Raisi Samia atakuwa na ziara hapa.
Sasa maandalizi ya kuonyesha kuwa anakubalika yamekuwa ni maumivu Kwa raia.
Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa kufunga maduka, watumishi wote,Sungusungu ,Mgambo wameamliwa kuhudhuria mikutano ya Samia.
Wenye shule za English medium wameamliwa kutoa magari ya Shule Kwa ajiri ya kusomba raia.
Je hii nguvu kubwa ya Nini, je serikali ya mkoa inawasiwasi kuwa wananchi wanaweza susia mikutano ya Raisi?
Tuombeeni sisi wana Simiyu maana maagizo ni mengi
MbususuHao Tone tone wanajitekenya wenyewe achana nao.
Mwasibu baada ya kupata ka ajira, umegeuka Chawa wa CCMMarehemu wote, roho zao zipumzike kwa amani. Amina
Unanionea bure kiongozi. Mimi nimeamua kuwa mzalendo sio kuwa chawa.Mwasibu baada ya kupata ka ajira, umegeuka Chawa wa CCM
Raia wana ujanja gani mbele ya nguvu ya dola?Wanaoshurutishwa ni walìokula kiapo cha utii kwa Mh Rais na sì raia wa kawaida
Mbona mimi binafsi sijawahi kulazimishwa kufanya hicho unachokisema ?Raia wana ujanja gani mbele ya nguvu ya dola?
Haimaanishi kama wewe hujalazimishwa hilo jambo halipo. Ni sawa na kusema ukimwi haupo, kwasababu wewe hujaupata.Mbona mimi binafsi sijawahi kulazimishwa kufanya hicho unachokisema ?