Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Ukiwa na ndugu wa namna hiyo nahisi ana laana tu ,unatamani MUNGU angemchukua tu maana anatesa nakutia machungu .
 
Kama katupiwa pepo hapo ukimwona mtu aliyekaa vizuri na Mungu ndani ya saa 12 anakuwa mzima 100%.
Kama ni msongo wa mawazo, tatizo la kurithi au bange ni watumishi wachache sana wa Mungu wanaweza kumponya. Mpelekeni hospital.
Kwahiyo tutafute mtumishi wa Mungu amuombee
 
Back
Top Bottom