Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Alikuwa anaendesha bodaboda ghafla ndiyo akaanza kuchanganyikiwa ikabidi boss aje kuchukua pikipiki yake
Nadhani tatizo ni boss kuchukua pikipiki yake,
jichangeni mtafutieni pikipiki huenda boss alimpa mkataba ambao uliokua nje ya uhalisia wa biashara .

Jichangeni kaka yenu anakoelekea kunaweza kua na Madhara makubwa zaidi, Pikipiki used inagharimu just 1.5M au 1M.
 
Naona hauko siriazi wewe
 
Kanisa unalosali hakuna mchungaji? Mwiteni pastor hiyo ndo kazi yake au wanamaombi. Me simwamini mwamposa naona ni msanii tu. Kama ni wakristo lazima mfanye maombi.
Dawa ya moto ni maji ukienda kwa waganga watakula ela bure na tatizo litaongezeka. Waganga hawasaidii wakula ela zako tu.
 
Kanisa unalosali hakuna mchungaji? Mwiteni pastor hiyo ndo kazi yake au wanamaombi. Me simwamini mwamposa naona ni msanii tu. Kama ni wakristo lazima mfanye mabi.
Dawa ya moto ni maji ukienda kwa waganga watakula ela bure na tatizo litaongezeka. Waganga hawasaidii wakula ela zako tu.
Asante mkuu tutafanya hivyo
 
Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Milembe pelekeni apewe dawa za kumfanya atulie akili kwanza hao wataalam mnapoteza muda madoctor watampa dawa kumtuliza kwanza wakiwaangalia shida nini
 
Back
Top Bottom