begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,833
- 2,878
mnunulieni haloperidol mmpe vidonge 2,asubuhi,mchana saa7 na saa mbili usiku atakaa vizuri,mara nyingi stress za maisha ndozina sababisha hayo.watanzania washakuwa machizi fresh ila hawajitambui tu na itakuwa njema mkimpeleka hospitali za wenye matatizo ya afya ya akili atakuwa sawa tu