MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Kachanganyikiwa.Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Acha kujipa majibu unayotaka wewe
Kachanganyikiwa.Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Nilisahau kuuliza ATUELEZE KAMA NDUGU YAO ANATUMIA VINYWAJI CHANGAMSHI PIA ATUELEZE KAMA NDUGU YAO ANA HISTORIA YA KUVUTA BANGI AU MADAWA YA KUSISIMUA AKILI KAMA UGOLO Cc.Pole sana Jiran.
Sasa kipi kimoja kati ya hivi mshafanya?
1. Mshawah kumpeleka kwa waganga? Na ilikuwaje?
2. kanisan msikitini na akatulia baada ya maombi?
3. Hospital ya afya ya akili je?
Kwan ni lazima aendeshe bodaboda?.
Maana ndio we unasema kila akipata mkataba mpya anarukwa na akili.
Alaf muwe serious kwenye kumtibu ndugu yenu , otherwise lawama na hasara mtapata nyiny na pia ipo siku atachoma nyumba kwa anavyoendelea.
Kasema Bang anatumia, hivyo vingne ajibuNilisahau kuuliza ATUELEZE KAMA NDUGU YAO ANATUMIA VINYWAJI CHANGAMSHI PIA ATUELEZE KAMA NDUGU YAO ANA HISTORIA YA KUVUTA BANGI AU MADAWA YA KUSISIMUA AKILI KAMA UGOLO Cc.
hospitali zinazo husiana na matatizo ya afya ya akili au za kawaida anaanzishiwa doz maisha yana endelea kingine ktk hospital za srkali walikuwa wanapata dawa bure sijui kwa utalatibu wa sasaKama hospital ipi mkuu?
Basi atakua anavuta bangi nyingi kiasi zimemchanganya.Kasema Bang anatumia, hivyo vingne ajibu
Ila wewe duh🙌Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
💯📌Mpeleke hosptali achana na hizo akili kuwa kachezewa .
Kwanini hamuamini katika matatizo ya afya ya akili .
Mkiendelea kwenda kwa waganga na wachungaji mtampoteza au kukuza tatizo
Binti Sayuni03Peleka Mirembe Mental Health Hospital iko Dodoma.
Usiendekeze ushauri mwingine wowote baada ya hii post
Mirembe .kama Jpm mwenyewe alikua na file pale...Kama hospital ipi mkuu?
Mkuu pole sana. Tatizo wewe ni mbishi. Huamini kuwa kuna magonjwa ya ukichaa au? Hiyo hospital waliyokuambia kachezewa ni vilaza. Mpelekeni hospital kubwa zenye mabingwa, atapona. Kadiri mnavyochelewa tatizo linaweza kuzidi. Kulikuwa na jamaa yetu alianza ukichaa, ikabidi afungwe kamba na kupelekwa hospital. Sasa hivi ni mzima japo akinywa pombe analewa na kuwa kama kichaa. Hivyo imebidi aache pombe kabisa. Mna uhakika huyu ndugu yenu hakuwahi kuvuta bangi? Bangi inaweza kumfanya mtu anakuja kupata ukichaa baadae. Pia apime virus vya ukimwi. Kna wengine hupata kama ukichaa.Kwa hali aliyofikia siyo ya hospital maana hata tulienda huko jana wakatuambia siyo ukichaa huyu kachezewa
Kwa mwamposa si ndio au Kwa kakobe ?Mfungeni kisha mpelekeni kwenye maombi
😸😸😸😸Mirembe .kama Jpm mwenyewe alikua na file pale...
Haaa Mrs Byesige katika ubora wake. Ni kweli kabisa. Huyu watu watampoteza na fedha yake itaishia kwa waganga wa kienyeji wakijifanya ana majini. Hata huko kuombewa nako kama anaenda basi iwe ni baada ya kwenda hospital. Maombi na dawa.Mirembe .kama Jpm mwenyewe alikua na file pale...
wagonjwa hawa wa matatizo ya akili, akifikia hatua ya kudhuru watu au yeye mwenyewe kutaka kujidhuru ni hatua mbaya na pia kwa upande wa utabibu ni amekidhi creteria zote za kulazwa hospitali ya magonjwa ya akili, tafadhali mpeleke hospitali ikiwezekana pale mirembe wanakaa safi wanahudumiwaGuys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Hii ni kweli au alikua anazushiwa tuu? Mtu awe na faili huko halafu apewe Uamiri Jeshi Mkuu, bila shaka na hao waliompendekeza nao walikua na mafaili huko.Mirembe .kama Jpm mwenyewe alikua na file pale...
Yes. Kama mko Dar es salaam naweza kumuombea bure kabisa.Kwahiyo tutafute mtumishi wa Mungu amuombee
Wewe ni mtumishi?Yes. Kama mko Dar es salaam naweza kumuombea bure kabisa.
Usitoe pesa kumpa mtu akuombee
Possibility za kutapeliwa ww ni 100%Wewe ni mtumishi?