TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Mtaalam wa michezo?Jana walimpeleka kwa mtaalamu ndiyo kasema hivyo
Mtaalam wa michezo?Jana walimpeleka kwa mtaalamu ndiyo kasema hivyo
Huko anaweza kupona?Mirembe
MgangaMtaalam wa michezo?
Daktari wa michezo?Mganga
Yupo mkoa gani?Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
DarYupo mkoa gani?
Asante mkuuHospitali hawezi kupona huyo, utadanganywa sana na hawa WASOMI UCHWARA WA AMAZON COLLEGE.
Usomi mwingi maarifa machache. Mambo ya AKCHUALI NA OFKOZI YOU KNOW THIS IS ZE MENTAL ILLNESS. Urongo!
Ukichaa mara nyingi unasababishwa na KUNDI LA MASHETANI kumvamia mtu kwa mara moja, wanaingia kwenye mfumo wa neva na mfumo wa fahamu (neurocotex) na kusababisha matatizo mazito ikiwemo kupoteza kumbukumbu, kuchanganyikiwa na dishi kuyumba.
Najua WASOMI UCHWARA WA AMAZON COLLEGE watabisha kwa jazba na kusisitiza mgonjwa akadungwe MACHANJO NA DRIPU, lakini HAITASAIDIA.
Tumia akili wewee, usidanganywa na hawa AKCHUALI ni sifuri tupu. CT SCAN 😁
Cc: DR Mambo Jambo chiembe Lucas Mwashambwa NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Extrovert cocastic Lamomy Half american Mudawote Tlaatlaah FaizaFoxy Nyani Ngabu
Sawa mkuuNjoo inbox nikupe maelezo
Mh huko atapona kweli mkuu?Poleni sana kama ni yule ulileta kisa chake ni wakupeleka hospital za vichaa
UnanichanganyaDaktari wa michezo?
Na kuchanganyaje?Unanichanganya
0759 895 555 piga hapo muelezee, lete mrejesho!
Atappigwa sindano za kumtuliza ni bora kuliko anavyohatarisha maisha ya wazazi na wanaomzungukaMh huko atapona kweli mkuu?
Ngoja atakapo ua mtu ndio mjue ana matatizo ya akili. Matatizo ya akili ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine. Mtaalam mnaemtafuta atawagombanisha mpaka siku jamaa akifanya kweli. Mpelekeni kwa wataalamu wa magonjwa hayo sio kwa hao toboa tobo.Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
URONGO.Ngoja atakapo ua mtu ndio mjue ana matatizo ya akili. Matatizo ya akili ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine. Mtaalam mnaemtafuta atawagombanisha mpaka siku jamaa akifanya kweli. Mpelekeni kwa wataalamu wa magonjwa hayo sio kwa hao toboa tobo.
Amandla...