kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #161
Asante mkuu ndiyo tupo tunamuhangaikiaDuh! Pole kwa hali ya brother natumai mtapata tiba yake na sio kitulizo tu. Mfanye haraka kabla hajafanya madhara makubwa.
Asante mkuu ndiyo tupo tunamuhangaikiaDuh! Pole kwa hali ya brother natumai mtapata tiba yake na sio kitulizo tu. Mfanye haraka kabla hajafanya madhara makubwa.
Mko wapi ncheki DMGuys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Mara nyingi wanaanza na psychotherapy. Wataongea nae ili kujua chanzo na uzito wa tatizo. Kama dawa zitahitajika watampa ( mara nyingi ni vidonge). Kitu cha msingi ni kujua mara nyingi ugonjwa huu hautibiki bali unakuwa controlled. Na nyie mlio karibu nae mtafundishwa namna ya kuishi nae na kutambua wakati gani atahitaji kupata msaada wa hospitali. Na vitu gani vya kuepuka.Anatakiwa atibiwe na nini sasa?
Nimecheka Sana
[/QUOTEmkuu nakuita kule kwenye post yangu ya mtoto wa miaka9 mwenye tatizo lamgongo
Asante mkuuMara nyingi wanaanza na psychotherapy. Wataongea nae ili kujua chanzo na uzito wa tatizo. Kama dawa zitahitajika watampa ( mara nyingi ni vidonge). Kitu cha msingi ni kujua mara nyingi ugonjwa huu hautibiki bali unakuwa controlled. Na nyie mlio karibu nae mtafundishwa namna ya kuishi nae na kutambua wakati gani atahitaji kupata msaada wa hospitali. Na vitu gani vya kuepuka.
Poleni sana lakini cha muhimu kujua ni kuwa mgonjwa na nyie hamkufanya kosa lolote. Hii si adhabu na haijasababishwa na mtu yeyote. Mwenyezi Mungu ni mwema, endeleeni kuwa na imani nae.
Amandla...
Hayo mambo yasikie tu omba yasikukute ukawa na mgonjwa wa namna hiyo utajuta imagine dogo anakaa miezi miwili hajatia chochote tumboni si maji Wala chakula yaani inafika muda anabaki mifupa tu
Nina mdogo wangu naye hivyo hivyo tushapeleka sana muhimbili ila analazwa anatibiwa anatulia akirudi home akikaa week kadhas Hali inarudi upya tushatawanya sana pesa pale muhimbili ikafika stage mpaka tumekimbia na deni imetubidi tumpeleke Singida kwenye tiba mbadala japo tiba mbadala yenyewe nayo naona chenga tupu inatakiwa lak 5 na mbuzi eti mganga ananiambia "mdogo wenu katupiwa majini kutoka Congo na Mwanamke aliekuwa amemuahidi atamuoa
ila hakumuoa" wakati dogo Toka namjua hakuwahi kujihusisha na mahusiano hata kidgo nimechoka kabisa
Pole sana mkuu hapo mlipompeleka nadhani siyo sahihi, vipi sasa hivi Anaendeleaje mdogo wako?Hayo mambo yasikie tu omba yasikukute ukawa na mgonjwa wa namna hiyo utajuta.
Nina mdogo wangu naye hivyo hivyo tushapeleka sana muhimbili ila analazwa anatibiwa anatulia akirudi home akikaa week kadhas Hali inarudi upya tushatawanya sana pesa pale muhimbili ikafika stage mpaka tumekimbia na deni imetubidi tumpeleke Singida kwenye tiba mbadala japo tiba mbadala yenyewe nayo naona chenga tupu inatakiwa lak 5 na mbuzi eti mganga ananiambia "mdogo wenu katupiwa majini kutoka Congo na Mwanamke aliekuwa amemuahidi atamuoa
ila hakumuoa" wakati dogo Toka namjua hakuwahi kujihusisha na mahusiano hata kidgo nimechoka kabisa
Kuweni waangalifu maana watu watachangamkia fursa. Kuanzia waganga mpaka wachungaji feki. Wakimaliza nanyi mtabakia hamna kitu. Sana sana watawaachia mpasuko katika familia.Asante mkuu
Mfungeni kamba, ila muwe wasiri majiraji wasihusike ni wambea balaaKwenye maombi wapi sasa Mwamposa leo hayupo
Acha hizo habari, peleka hospitali kubwa yanye wodi na wataalamu wa ku handle mtu mwenye tatizo kama hilo.Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Ndo matatizo ya waafrika, hatuuguwi wala kufa bila kurogwa.!Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Hakuna hospitali inaweza ku handle hilo jambo.Acha hizo habari, peleka hospitali kubwa yanye wodi na wataalamu wa ku handle mtu mwenye tatizo kama hilo.
Peleka kwa ostazi msoma dua amfanyie kisomoGuys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Naambiwa anaendelea vizur ameacha fujo na anakula chakula vyema.Pole sana mkuu hapo mlipompeleka nadhani siyo sahihi, vipi sasa hivi Anaendeleaje mdogo wako?
Sisi tupo tunampambania