Hospitali hawezi kupona huyo, utadanganywa sana na hawa WASOMI UCHWARA WA AMAZON COLLEGE.
Usomi mwingi maarifa machache. Mambo ya AKCHUALI, OFKOZI YOU KNOW THIS IS ZE MENTAL ILLNESS. Ujingaaaa!!!!
Ukichaa mara nyingi unasababishwa na KUNDI LA MASHETANI [viumbe roho] kumvamia mtu kwa mara moja, wanaingia kwenye mfumo wa neva na mfumo wa fahamu (neurocotex) na kusababisha matatizo mazito ikiwemo kupoteza kumbukumbu, kuchanganyikiwa na dishi kuyumba.
Najua WASOMI UCHWARA WA AMAZON COLLEGE watabisha kwa jazba na kusisitiza mgonjwa akadungwe MACHANJO NA DRIPU, lakini HAITASAIDIA.
Tumia akili wewee, usidanganywe na hawa AKCHUALI ni sifuri tupu. CT SCAN 😁
CT SCAN is for the physical body, sio wale jamaa. Utampoteza ndugu yako, usisikilize hawa vishoka wa mtandaoni wanaobwata bila kuwa na elimu yoyote zaidi ya MAVYETI YA VETA.
Cc:
DR Mambo Jambo chiembe Lucas Mwashambwa NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Extrovert cocastic Lamomy Half american Mudawote Tlaatlaah FaizaFoxy Nyani Ngabu Mbaga Jr Poor Brain secretarybird ndege JOHN