Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Naambiwa anaendelea vizur ameacha fujo na anakula chakula vyema.

Binafsi namjua vizur dogo mganga alivyonipa hizo taarifa za mahusiano nikapata mashaka lakin kwakuwa familia imengangania hakukuwa na jinsi.

Unasema sio sehemu sahihi kwakuwa huyo mgonjwa wenu Bado ni mpya subiri muda uende kidgo mtampeleka Kila sehemu kutafuta tiba labda mumtelekeze, huko kwenye dini ndio kumejaa matapeli watupu.

Haya mambo magumu sana ndio maana hapo juu nimesema Bora uyasikie tu.
Poleni sana, afadhali amepata nafuu.

Sisi jana mtaalamu alikuja na leo anarudi tena kuja kuanza tiba hapa ndiyo nipo njiani naenda ntawapa Feedback baada ya tiba itakayoanza leo.
 
SS I'm kachezewa ndo unatafuta fundi? Mbona utapoteza pesa?
Nenda kanisani ww,ila kanisa ambalo Lina watumishi walio serious na Mungu
Mimi naona maombi ndio muhimhu kuna shemeji yangu alikua akivaa nguo ya kazi(uniform ya polisi) anakua kichaa alizungushwa kila mahali ila alikuja kuombewa bure akapona hadi leo yuko babati kazini ni trfk
 
Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Kamateni mpigeni nusu nusu kumtoa roho
 
Hapa Tanga kuna mwanajeshi mpaka leo ni kichaa ,walizembea ila kuna tetesi aliwafamyia watu dhulma ,wanasema ni watu wa pwani huko ..Jamaa ana asili ya Uganda ila mother wake ni mbongo ,kampanbania mpaka leo kama mwaka wa 15 ni kichaa kabisa ...Anaroute za kilq Siku pale mabanda ya papa haukomsi ni maisha yake .

Mwingine naye ni kijana wa 1999 hivi ni mtihani yeye alikuwa anachanganya kila kilevi ...Ugoro, bangi ,pombe na madawa ya usingizi ili atinge ..Alishafungwa ila huko gerezani kichaa kilimpata.
 
Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Ndio shida ya wabongo, hutaki ku admit kwamba ana tatizo la akili, unatupia lawama imani za kishirikina. Aiseee kama unampenda mpeleke mental institute asap , ukianza kutafuta alipochezewa hutokaa upate
 
Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Peleka Milembe huko ndo Kuna wabobezi wa vichaa ukisubiri sana huyo ataua
 
Kama anatumia bangi hakuna maombi wala mtaalam atakayemsaidia, mpeleke sober house akasaidiwe kuachana na banging mana inaleta periodical psychosis wenyewe wanaita kichaa cha mwezi mchanga. Akiacha hiyo kitu anakuwa Sawa, ni maradhi ya uraibu na anapaswa asaidiwe kupambana nayo mwenyewe ni pm nikupe namba ya atakayekusaidia
 
Back
Top Bottom