Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Ndio shida ya wabongo, hutaki ku admit kwamba ana tatizo la akili, unatupia lawama imani za kishirikina. Aiseee kama unampenda mpeleke mental institute asap , ukianza kutafuta alipochezewa hutokaa upate
Huko atapona kabisa?
 
Hapa Tanga kuna mwanajeshi mpaka leo ni kichaa ,walizembea ila kuna tetesi aliwafamyia watu dhulma ,wanasema ni watu wa pwani huko ..Jamaa ana asili ya Uganda ila mother wake ni mbongo ,kampanbania mpaka leo kama mwaka wa 15 ni kichaa kabisa ...Anaroute za kilq Siku pale mabanda ya papa haukomsi ni maisha yake .

Mwingine naye ni kijana wa 1999 hivi ni mtihani yeye alikuwa anachanganya kila kilevi ...Ugoro, bangi ,pombe na madawa ya usingizi ili atinge ..Alishafungwa ila huko gerezani kichaa kilimpata.
Duh! Hii hatari sana aisee
 
Nadhani tatizo ni boss kuchukua pikipiki yake,
jichangeni mtafutieni pikipiki huenda boss alimpa mkataba ambao uliokua nje ya uhalisia wa biashara .

Jichangeni kaka yenu anakoelekea kunaweza kua na Madhara makubwa zaidi, Pikipiki used inagharimu just 1.5M au 1M.
Yaani mtu ana kichaa ushauri unaotoa anunuliwe chombo cha moto?! Are you serious?
 
Kwasasa haongei kabisa anaonyesha ishara ukimuangalia anakuomba msamaha, na kukaa chini hataki kabisa hadi alazimishwe sana hata kula kwenyewe changamoto, ila leo tunamuanzishia tiba ntawapa mrejesho
Anaongea peke yake? Anakumbuka jina lake na baadhi ya matukio? Sio post traumatised? Hajawah kukutana na magumu? Lini hasa alianza kuonyesha utofauti wa kitabia?
 
Back
Top Bottom