kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #241
Sawa mkuuMpeleke milembe hosp Dodoma utasaidiwa
Sawa mkuuMpeleke milembe hosp Dodoma utasaidiwa
Sawa mkuuMilembe ni kitengo ambacho kinadeal na watu wenye shida Kama ya ndugu yako. Nanda serikali ya mtaa ukaripoti Hilo tatizo, then watakupa maelezo ni namna gani mnaweza kumtoa hapo.
Magonjwa ya akili kupona ni ngumu sana ndiyo maana watu wengi wanayahusisha Mambo ya kishirikina.
Siwezi kuongopa kitu kama hikoBasi wewe ni muongo na umekuja kuchangamsha genge tu hapa. Hakuna ndugu yako anayeumwa.
Denial hii-inaonekana hili tatizo lipo kwenye familia, hata wewe ni suala la muda tu.Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Mpelekeni hospital ya ugonjwa wakili akapatiwe matibabuGuys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Kama kweli upo serious na unaamini kuwa amechezewa, mpelekeni huyo mgonjwa wenu Kibamba kwa mtumishi wa Mungu anaitwa mama Sozigwa, akamfanyie maombi. Mpigie kwa 0769232718 mtapata majibu ya kwa nini anafanya hivyo na nini kifanyike ili apone.Sinza
Basi afanye meditation ili ku balance.Ndiyo anatumiaga bangi
Zamani waganga ndio walikua na majibu, lakini siku hizi mpaka watumishi nao wanamajibu.Kama kweli upo serious na unaamini kuwa amechezewa, mpelekeni huyo mgonjwa wenu Kibamba kwa mtumishi wa Mungu anaitwa mama Sozigwa, akamfanyie maombi. Mpigie kwa 0769232718 mtapata majibu ya kwa nini anafanya hivyo na nini kifanyike ili apone.
Hivyo vidonge havipatikani hivi hivi bila maagizo rasmi au maamuzi ya daktari… ni vidonge vya watu wenye shida ya afya ya akilimnunulieni haloperidol mmpe vidonge 2,asubuhi,mchana saa7 na saa mbili usiku atakaa vizuri,mara nyingi stress za maisha ndozina sababisha hayo.watanzania washakuwa machizi fresh ila hawajitambui tu na itakuwa njema mkimpeleka hospitali za wenye matatizo ya afya ya akili atakuwa sawa tu
Basi endeleeni kukaa naye hapo mpaka awachezee na nyie mfe. Unapewa ushauri wa maana unaleta masihara ya kijingaWala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Ni kwel kabisa. Very sadUkiwa na ndugu wa namna hiyo nahisi ana laana tu ,unatamani MUNGU angemchukua tu maana anatesa nakutia machungu .
Kumbe tatizo unalijua kuwa anavuta bangi na bangi ni haramu, hiyo bangi ndugu yako ameranduka, mpelekeni "sober house".Ndiyo anatumiaga bangi
Toka zamani watumishi wa Mungu walikuwa wana majibu. Huwezi kukurupuka tu kuanza kumuombea mtu pasipo kujua kwa nini anaumwa. Wakati mwingine mtu huwa anaumwa kama adhabu kutoka kwa Mungu mwenyewe, sasa ukianza kukemea tu ni kuwa unamkemea MunguZamani waganga ndio walikua na majibu, lakini siku hizi mpaka watumishi nao wanamajibu.
Stuka mkuu.
Au anataka tu uzi uwe mrefuBasi endeleeni kukaa naye hapo mpaka awachezee na nyie mfe. Unapewa ushauri wa maana unaleta masihara ya kijinga
Huyo dawa yake inauzwa elfu 15Ndiyo anatumiaga bangi
Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Yaani pikipiki tu achezewe, na we pia ni wa kuwahishwa hospital.....Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Nimeshangaa sanaAu anataka tu uzi uwe mrefu