Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Hapo mwny bango imeandikwa Mirembe lakini wewe bado ukaandika milembeHampajui milembe?View attachment 3325181
Hapo mwny bango imeandikwa Mirembe lakini wewe bado ukaandika milembeHampajui milembe?View attachment 3325181
Hajatembea na mke wa mtu?Alikuwa anaendesha bodaboda ghafla ndiyo akaanza kuchanganyikiwa ikabidi boss aje kuchukua pikipiki yake
Sijajua lakini hana hiyo tabiaHajatembea na mke wa mtu?
Zitamponesha?Haloperidol na lopenzamine
Mimi sitaki kucheka bado nina majonzi jamaniHapo mwny bango imeandikwa Mirembe lakini wewe bado ukaandika milembe
Kumbe wewe huwajui walimwengu eeh hayaYaani pikipiki tu achezewe, na we pia ni wa kuwahishwa hospital.....
Wangapi waliwahi kupona kwa hiyo dawa?Hata hapa Dar ipo mental hospital Muhimbili.
Ukienda kule wanampa Copromazin,dawa yao pendwa. Halafu anapona mara moja.
Watu wanawaza mawazo mabaya,mawazo ya uovu.
Haya mawazo ya uovu ysna create elementals.
"Elementals" maana yake majini,mazimwi,you name it,yanajazana angani kwa ajili ya hayo mawazo ya uovu.
Elementals ndio wanadhuru watu. Elementals possess people.
Tunampatia tiba mbadala kwasasaBasi endeleeni kukaa naye hapo mpaka awachezee na nyie mfe. Unapewa ushauri wa maana unaleta masihara ya kijinga
Mungu awafanyie wepesiTunampatia tiba mbadala kwasasa
Unamaana gani kusema hivyo mkuu, yaani hili tatizo la kuzuka ghafl ukubwani ndiyo unasema lipo kwenye familia?Denial hii-inaonekana hili tatizo lipo kwenye familia, hata wewe ni suala la muda tu.
Very Poor insights
Asante sana, ntawaletea mrejesho tumeanza jana tibaMungu awafanyie wepesi
Mkuu hali ilivyo siyo ukichaa kabisa huuGuys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Mpelekeni hospital yaan mnakaa na kichaa ndani subirini awaonyeshe show wengine siyo kulogwa mibangi wanayovuta
Mkuu hizo zinatuliza tu badala ya hapo anaendeleza fujoHuyo dawa yake inauzwa elfu 15
Inamaana huna hiyo hela ukamchukulie dawa adungwe sindano
Vijana wengi wangeranduka kama huyu ndugu yangu lakini huyu kuna namna siyo kichaa cha kawaidaKumbe tatizo unalijua kuwa anavuta bangi na bangi ni haramu, hiyo bangi ndugu yako ameranduka, mpelekeni "sober house".
Mkuu kuna tiba tunampatia ntawaletea mrejesho hivi karibunimtafute mzee hananja akakae nae ndani ya muda mfupi atakuwa sawa
Asante sana mkuu kuna tiba ameanza jana haitakuwa busara kuchanganya mamboKama kweli upo serious na unaamini kuwa amechezewa, mpelekeni huyo mgonjwa wenu Kibamba kwa mtumishi wa Mungu anaitwa mama Sozigwa, akamfanyie maombi. Mpigie kwa 0769232718 mtapata majibu ya kwa nini anafanya hivyo na nini kifanyike ili apone.
Hapana mkuu sijawahi kuona mtu mwenye kichaa kwetu hakuna kabisaBasi afanye meditation ili ku balance.
Nikuulize, Katika ukoo wenu kuna historia ya ukichaa?