much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
Kama anavuta bangi hakuna aliyemchezea ni mibange yakeKwa hali aliyofikia siyo ya hospital maana hata tulienda huko jana wakatuambia siyo ukichaa huyu kachezewa
Kama anavuta bangi hakuna aliyemchezea ni mibange yakeKwa hali aliyofikia siyo ya hospital maana hata tulienda huko jana wakatuambia siyo ukichaa huyu kachezewa
Haliperidol hutumika kutuliza akili.Zitamponesha?
Hizo HazifaiHaliperidol hutumika kutuliza akili.
Mh tutaona kama ni kweliKama anavuta bangi hakuna aliyemchezea ni mibange yake
Asante kwa ushauri mkuuFunga kamba peleka mirembe hospital Dodoma
Waambieni madoctar wa mirembe tumemshindwa hataki kuacha bangi wao watajua chakufanya
Kachezewa na nani?Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Mtaalamu ametuambia hivyo mkuuKachezewa na nani?
Ni ugonjwa wa akili huo.
Huyo mwamba akitua hospitali akitibiwa fresh itabakia historia tu.
kabisa hajalogwa ni mibange tu akifika pale atapewa hata msaada wa kisaikolojiaFunga kamba peleka mirembe hospital Dodoma
Waambieni madoctar wa mirembe tumemshindwa hataki kuacha bangi wao watajua chakufanya
Mpelekeni mgonjwa kwa hospitali ya afya ya akili.... Achaneni na kusingizia kulogwaUnamaana gani kusema hivyo mkuu, yaani hili tatizo la kuzuka ghafl ukubwani ndiyo unasema lipo kwenye familia?
Mpelekeni mgonjwa hospitali ya afya ya akili.Mtaalamu ametuambia hivyo mkuu
Nawajua lakini siyo kwa pikipiki tena ya mkatabaKumbe wewe huwajui walimwengu eeh haya
Ni cheki pm kama hutojaliGuys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Sawa mkuuNi cheki
Ni cheki pm kama hutojali
Oooh! HayaNawajua lakini siyo kwa pikipiki tena ya mkataba
Zngatia au hauko seriousNjoo inbox
Nilikuwa bize nakuja mkuuZngatia au hauko serious
Muueni nyie sasa kabla hajawaua yeye.Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Mkuu ushauri gani sasa huu?Muueni nyie sasa kabla hajawaua yeye.
Muwahishe Mirembe au mawenziGuys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.