Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Kama katupiwa pepo hapo ukimwona mtu aliyekaa vizuri na Mungu ndani ya saa 12 anakuwa mzima 100%.
Kama ni msongo wa mawazo, tatizo la kurithi au bange ni watumishi wachache sana wa Mungu wanaweza kumponya. Mpelekeni hospital.
pls mi Nina shida yangu nataka uniambie mtumishi gani ww una uhakika sio kanjanja nataka nikafanye maombi Niko dsm.
 
pls mi Nina shida yangu nataka uniambie mtumishi gani ww una uhakika sio kanjanja nataka nikafanye maombi Niko dsm.
Bahati mbaya mchungaji wangu kiongozi yuko katika homa ya uzeeni.
Hawezi yuko kitandani. Yule baba angekuambia mpaka source ya tatizo na kumfungua bure bila cent.
Nenda DAVIS CORNER karibu na Tandika kuna kanisa linaitwa porter's house ukimkuta askofu Pr. Wandamba atamfungua free sema yule mzee anasafiri sana DUNIANI.
Mimi pia nitamfungua kwa masharti ampokee Yesu. Akimwacha atakuwa tena zaidi ya sasa
 
Enzi zangu ningemsaidia ila now niko bize mno na haya mambo..
Lakini kama alikuwa anavuta bange fanyeni haya anapona.
1:mnyoeni nywele zote kichwani yaani
awe para.
2:kisha mnakuwa mnampaka mafuta ya
zaituni katika hilo para.
3:mnamdondoshea mafuta ya zaituni
puani.
4:Nunueni shubiri maduka ya dawa za
asili kisha mnaiponda iwe unga mnakuwa mnakorogea vijiko viwili na kunywa na maji glass moja asubuhi na jioni.
5:kisha kila usiku awe anafanyiwa dua au maombi.
#usidharau
Kama ni kichaa cha kulogewa wala msihangaike sana kila usiku mnatafta mtoto wa kiume anakojoa kwenye chombo kisha ule mkojo mnauweka mpaka asubuhi mnanywesha sharti la mkojo uwe wa mtoto jinsia ya mgonjwa mtoto wa chekechea mpaka la nne..
#usidharau
 
Milembe ni kitengo ambacho kinadeal na watu wenye shida Kama ya ndugu yako. Nanda serikali ya mtaa ukaripoti Hilo tatizo, then watakupa maelezo ni namna gani mnaweza kumtoa hapo.

Magonjwa ya akili kupona ni ngumu sana ndiyo maana watu wengi wanayahusisha Mambo ya kishirikina.
Watu wanapona ila ni matbabu ya muda mref kidogo mana familia inaweza kuchangia kutopona kwa mgonjwa
 
Back
Top Bottom