excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,954
naona sasa akili imeanza kukukaa sawa. Nilikwambia nikupe namba umlete KATORO ukajikuta mjanjaWala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
naona sasa akili imeanza kukukaa sawa. Nilikwambia nikupe namba umlete KATORO ukajikuta mjanjaWala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Huko mbali sana mkuu ngoja tumuhangaikie huku Kwanzanaona sasa akili imeanza kukukaa sawa. Nilikwambia nikupe namba umlete KATORO ukajikuta mjanja
Pelekeni hospital huku mnaendelea na taratibu zenu za kishirikina uhenda ni malaria tu imepanda kichwaniAsante mkuu hapa tumemfunga kamba japo zinamuumiza ila hatuna namna
kuuliza sio ujinga mkuu je ugolo unaweza mpelekea mtu kupata tatizo la afya ya akili?Nilisahau kuuliza ATUELEZE KAMA NDUGU YAO ANATUMIA VINYWAJI CHANGAMSHI PIA ATUELEZE KAMA NDUGU YAO ANA HISTORIA YA KUVUTA BANGI AU MADAWA YA KUSISIMUA AKILI KAMA UGOLO Cc.
kuuliza sio ujinga mkuu je ugolo unaweza mpelekea mtu kupata tatizo la afya ya akili?Nilisahau kuuliza ATUELEZE KAMA NDUGU YAO ANATUMIA VINYWAJI CHANGAMSHI PIA ATUELEZE KAMA NDUGU YAO ANA HISTORIA YA KUVUTA BANGI AU MADAWA YA KUSISIMUA AKILI KAMA UGOLO Cc.
bangi mbaya kuna jamaa yetu baada ya kuvuta tu tukaona anashika kichwa na kupiga kelele jamani nisaidieni ubongo una dondoka huku akitimua mbio .kilichomuokoa alikimbia na kujitupa mtoni na kujimwagia maji kichwani akawa sawa bangi kama una kichwa chepesi sio nzuriMh! Mbona wengine wanatumia hawapo hivi
bangi mbaya kuna jamaa yetu baada ya kuvuta tu tukaona anashika kichwa na kupiga kelele jamani nisaidieni ubongo una dondoka huku akitimua mbio .kilichomuokoa alikimbia na kujitupa mtoni na kujimwagia maji kichwani akawa sawa bangi kama una kichwa chepesi sio nzuriMh! Mbona wengine wanatumia hawapo hivi
Duh! Hatari sana hiyo tutamsihi aache baada ya kuponabangi mbaya kuna jamaa yetu baada ya kuvuta tu tukaona anashika kichwa na kupiga kelele jamani nisaidieni ubongo una dondoka huku akitimua mbio .kilichomuokoa alikimbia na kujitupa mtoni na kujimwagia maji kichwani akawa sawa bangi kama una kichwa chepesi sio nzuri
Hapana siyo maleria hospital tulishaendaPelekeni hospital huku mnaendelea na taratibu zenu za kishirikina uhenda ni malaria tu imepanda kichwani
Uki u mis use Ila ni tiba ila ukitumika kwa WINGI namaanisha dosege kubwa unaleta hitilafu kwenye ubongo wa binadamukuuliza sio ujinga mkuu je ugolo unaweza mpelekea mtu kupata tatizo la afya ya akili?
Ukiwa unajifunza anza na dozi ndogo una vuta kidogo then unaongeza dozi kidogo kidogo.bangi mbaya kuna jamaa yetu baada ya kuvuta tu tukaona anashika kichwa na kupiga kelele jamani nisaidieni ubongo una dondoka huku akitimua mbio .kilichomuokoa alikimbia na kujitupa mtoni na kujimwagia maji kichwani akawa sawa bangi kama una kichwa chepesi sio nzuri
Sio kweli.Mkuu hizo zinatuliza tu badala ya hapo anaendeleza fujo
Anapata vizuri tu kama mwanzo alipata tatizo la akili akatibiwa akapona halafu aanze matumizi ya ugoro mwaka hamalizi anarudi kweny uchizikuuliza sio ujinga mkuu je ugolo unaweza mpelekea mtu kupata tatizo la afya ya akili?
Huyu sasa hilo swala sidhani kama ataliwezaSio kweli.
Tatizo ni huyo kijana wenu Bado anaendelea kuvuta bangi
Hizo dawa mgonjwa akishatumia hizo dawa hatakiwi tena atumie mihadarati ya ainayoyote maisha yake yote
Chlorpromazine is a typical antipsychotic medication primarily used to treat psychiatric disorders such as schizophreniaWangapi waliwahi kupona kwa hiyo dawa?
Mkuu pole sana kwa kwa maradhi ya kaka yako hebu nitafute mimi ili tuweze kumtibia apate kupona maradhi yake wamesha mroga maaduwi zake auguwe pole.Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Ndio pm tafadhaliGuys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Binadamu anaenda mpaka anaona mwisho wake , huko mbele ni kiza lazima achizike..Haya kamaliza chuo hatua inayofuata ni kazi ila anaona kiza kupata hiyo kazi ,watu wengi duniani mioyo yao haina uvumilivu , kiuhalisia dunia ni ngumu sana ...Nzuri pale unapokuwa mtoto tu basi.Ina make sense mpaka pale utakapo jiuliza ni majobless wangapi wanapitia tatizo la Afya ya akili.
Kiuhalisia familia nyingi za uchumi wa chini / kimaskini zinatabia ya kuwa treat vibaya wale watoto wenye maisha ya tia mchuzi,
Baadhi ya vijana ambao hawana uvumilivu wa kutosha wenye tatizo la afya ya akili plus wakutane na situation ya kuchukuliwa kama useless na familia, unafikiria nini kitatokea ?
Funga kamba peleka mirembe hospital DodomaHuyu sasa hilo swala sidhani kama ataliweza