kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #101
Sawa tapeliPossibility za kutapeliwa ww ni 100%
Sawa tapeliPossibility za kutapeliwa ww ni 100%
nipo goba mkuu kuna mtaalamu tumeshampataUpo dar sehemu gani,mi nipo gomsi apa kuna mpemba namfahamu alimtibia ndugu yangu akapona ijapokua yeye hakua na kichaa alistroke mwil
Apo mpate shekhe anakijua kitabu haswa na mambo ya majini, sio mganga tu wa kawaidanipo goba mkuu kuna mtaalamu tumeshampata
Mpeleke hospitali, apate matibabu na pia maombi(optional) yaendeleeKwenye maombi wapi sasa Mwamposa leo hayupo
Mpeleke hospital kashakua mwehuu huweziii kupambana na mtu kama huyooo...mtauliwaa woteee na kesi hakunaGuys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Asante mkuuMpeleke hospital kashakua mwehuu huweziii kupambana na mtu kama huyooo...mtauliwaa woteee na kesi hakuna
Asante mkuuMpeleke hospitali, apate matibabu na pia maombi yaendelee
Asante mkuuApo mpate shekhe anakijua kitabu haswa na mambo ya majini, sio mganga tu wa kawaida
Bangi huwa anatumiaga hayo madawa mengine sijuiNilisahau kuuliza ATUELEZE KAMA NDUGU YAO ANATUMIA VINYWAJI CHANGAMSHI PIA ATUELEZE KAMA NDUGU YAO ANA HISTORIA YA KUVUTA BANGI AU MADAWA YA KUSISIMUA AKILI KAMA UGOLO Cc.
Kuhusu vingine sijuiKasema Bang anatumia, hivyo vingne ajibu
Tupo Dar huko mirembe si ni Dodoma?wagonjwa hawa wa matatizo ya akili, akifikia hatua ya kudhuru watu au yeye mwenyewe kutaka kujidhuru ni hatua mbaya na pia kwa upande wa utabibu ni amekidhi creteria zote za kulazwa hospitali ya magonjwa ya akili, tafadhali mpeleke hospitali ikiwezekana pale mirembe wanakaa safi wanahudumiwa
Yaani mtu anaumwa umchukue video hapana hii siyo sawaMim naona kama unaleta masihara ningekukonekt na msaada ..ila sikuamin vile naangalia mfululizo wa mada zako ni za masihara masihara ...kama kweli nitumie video ya huyo ndugu yako akiwa katika Hali hio unayosema.
Kachezewa mchezo Gani?Wala siyo kichaa ndugu yangu huyu kachezewa
Basi BANGE zimemuharibu akili.Bangi huwa anatumiaga hayo madawa mengine sijui
Mh! Mbona wengine wanatumia hawapo hiviBasi BANGE zimemuharibu akili.
Hata mimi sielewi sasaKachezewa mchezo Gani?
Bodaboda ni bange kwa kwenda mbele. Vuta bange sirini ikuumbue hadharani. Hiyo ndiyo kanuni ya bangeAlikuwa anaendesha bodaboda ghafla ndiyo akaanza kuchanganyikiwa ikabidi boss aje kuchukua pikipiki yake
Ulijiaje kama kachezewa?Hata mimi sielewi sasa
Jana walimpeleka kwa mtaalamu ndiyo kasema hivyoUlijiaje kama kachezewa?