Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Hampajui milembe?
images - 2025-05-05T133310.094.jpeg
 
Hamna cha kuchezewa pelekeni mtu Hospitali akatibiwe, mambo ya ushirikina ndo mpaka mtu AFE mje mseme kachukuliwa msukule.

Maombi yatafata ila hatua ya 1 ni hospital hatua ya 2 ni hospital hatua ya 3 ni Hospital then baada ya hapo ndo muendelee na imani zenu zingine.

Hospitali Kwanza waganga baadae
 
Mirembe ia must!
 
Lakini mkuu kwa jinsi alivyo hiki siyo kichaa kabisa inavyoonekana kuna kitu
Ewe binti sayuni kama nyie wote kwenye familia mmekubaliana kwamba sio kichaa bali kachezewa sasa mnangoja nini kumpeleka sehemu inayofaa ( kanisani) au mawazo yenu ni kutafuta waganga wa kienyeji and if so hapa JF utatapeliwa tu,huko huko ulipo ulizieni mpeleke though kuweni makini waganga wa siku hizi ni MATAPAPELI waliochangamka
 
Back
Top Bottom