Hali ya SGR ni mbaya na mradi haujulikani utakamilika lini

Na mmi najiuliza hivi huyu mama haoni haya yote? Ivi tuna bunge kweli linalo wakilisha wanachi [emoji22][emoji22]
 
Halafu watu walivyo wapumbavu utasikia wengine eti wanalaumu wazungu kwa umaskini wetu wakati ujinga wote tunafanya wenyewe.

Mbona basi huu ufisadi ulifanyika wakati wa Magufuli na ndio wengine bado wanamsifia kwamba alikuwa mtu makini. Kadri ccm utakavyoendelea kuwa madarakani hakuna kitakacho badilika.

Wataendelea kuiba na hakuna watakachofanywa kwa maana wanaamini tuna wanajeshi kondoo ambao pia hawawezi kuwapindua.
 
Na mmi najiuliza hivi huyu mama haoni haya yote? Ivi tuna bunge kweli linalo wakilisha wanachi [emoji22][emoji22]
Mama mwenyewe ni sehemu ya tatizo. Nchi yoyote kama raisi hataki ufisadi kamwe hautakuwepo tena kwa nchi kama Tanzania ambapo rais ni mungumtu anaweza akakomesha ufisadi ndani ya wiki moja tu.
 
Yule jamaa angepiga miaka 20 .

Tungekuwa mbali kimiundomibinu.


Sijaona faida ya maridhiano
Maridhiano ya wapi kaka, hawa wanatuigizia ila nyuma ya pazia nao wanaulaji, wakishatuigizia kwenye kamera nyuma ya pazia wanagonga tano.
 
Mimi nasema Mungu amuweke sehemu anayostahili JPM kama binadamu wengine alikuwa na mazuri na yako hatukukubaliana naye, lakini hapa hoja sio JPM tu maana hata yeye hakuwahi kufanya kubwa likawa mfano kwenye ubadhilifu serikalini zaidi ya ukali. Sokoine mimi sikumshuhudia lakini pia alienda mbali ikawa kama kuonea watu baada ya serikali kuwa hawana pesa baada ya vita na UG. Shida yetu zaidi ya hawa watu, nikuwa na mfumo umeiba mali ya serikali unarudisha kila kitu.
 
Kwani hitaji la Wananchi ni Sgr? Uko sawa kichwani? Mbadala wa ccm ni chama gani sasa
Wapuuzi kama wewe ndio waliosababisha nchi hii ifike hapa ilipo. Mbadala wa CCM huuoni? Kwa hiyo CCM ni chama cha maisha ktk nchi hii? Mpuuzi mkubwa wewe!
 
Wapuuzi kama wewe ndio waliosababisha nchi hii ifike hapa ilipo. Mbadala wa CCM huuoni? Kwa hiyo CCM ni chama cha maisha ktk nchi hii? Mpuuzi mkubwa wewe!
Wewe ni mpuuzi kama ushuzi.

Hakuna chama mbadala wa ccm,kipi?
 
Bado hamjasema.
 
This is unaccepatable huu mradi haiwezekan ukaachwa ukafa itakuwa loss kubwa ya takriban trillion 23+ sisi kama taifa hatuiwez hii hasara na fedhea
Kuna wachumi daraja la Kwanza wanaona ni Sawa na waziri wa Ujenzi
 
Wenye akili walijua kwamba hela hazipo wewe sasa utaambiwa mchochezi ama umetumwa na mabeberu hahaa haka kalikuwa kamsemo ketu pendwa tukibananishwa kwenye kona
 

Watu wale kwa urefu wa kamba zao[emoji23][emoji23].
 
Wilaya yangu Bajeti ilikuwa 1b na Sasa ni 4b wewe Kwa Yako unadhani utaongeza Bajeti ya kaiz bila Bajeti ya usimamizi? Samia ni namba nyingine
Wewe ni takataka au unanufaika na wizi unaoendelea hapa nchini. Sasa kama bajeti imeongezeka lakini inaishia mifukoni mwa watu kuna faida gani hapo? Wapuuzi kama wewe ndio mnaosababisha watanzania waendelee kuteseka na serikali ya kifisadi ya CCM.
 
Nawaambiaje,tareh 17/3 ni siku taifa lilipoteza mtu muhimu sana.

Jpm alihitajika kwa tz hii kuliko kiumbe yeyote.
 
Sasa huo "mfumo" unaoueleza wewe unadhani utatoka wapi?

Naona jaribu kidogo kujifunza historia ya nchi yako kwa kuanza ukiwa na akili huru ya kutaka kujua historia hiyo badala ya kulishwa tu maneno yanayojitokeza mitaani, yakienezwa na hao hao unaowaita "kuonea watu".

Edward Sokoine hakumwonea mtu yeyote aliyekuwa akifanya shughuli zake ndani ya sheria.

Magufuli angachana na maigizo mengi ya pembeni aliyodhani yatamwongezea sifa, angekuwa mtu sahihi kabisa kulinyoosha hili taifa.

Sasa hivi mtu wa aina hiyo anahitajika sana na wala usitegemee "mfumo" wa aina yoyote ile kuleta mabadiliko ndani ya nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…