Hali ya wananchi kiuchumi ni mbaya sana kupitiliza kuelekea Uchaguzi wa 2025

Ukiona wananchi wengi hawakerekwi nasi ujue hali sio ngumu sanaaa kama imavyonadiwa na wanasiasa! Changamoto zipo na ofcourse wapo wenye hali ngumu kabisa lakini walau watu wakijichaganya wanarudi jioni wakiwana faraja kiasi!
Hawatoi risiti hao. Kuna mtu ni machinga kwa miaka 20 bila kulipa kodi
 
Tatizo ni pesa ya Tanzania kushuka thaamani dhidi ya dola ya marekani, na mikopo kausha damu pia ni shida sana.
Mbona exchange rates zinafahamika? Kwanini mshahara haundani na exchange rates? Watanzania wengi, 70% mishahara yao haizidi 700,000 kwa mwezi, hizi ni sawa na Dola ngapi? 7k zinatosha nini na nini kwa mwezi?
 
Back
Top Bottom