BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kuitafuta wapi? CCM iko busy kutengeneza masikini wengi ili wahongeke.Nafikiri kujibu swali lako ni kwamba "hali ngumu" iko humu Jamii Forums na kwenye mitandao mingine tu.
Wale walio nje wako busy kutafuta hela lakini kavulata na Gulio Tanzania wanataka wapate hela humu JF
NdioFurusa zipi? za umachinga?
Hali inazidi kuwa mbaya zaidi idadi ya machizi nayo imeongezekaUmasikiki ni mtaji wa CCM mkuuu, bila watu kuwa na hali mbaya za kiuchumi CCM itaweza kuwahonga kanga, kofia na Tshirt?
Hawatoi risiti hao. Kuna mtu ni machinga kwa miaka 20 bila kulipa kodiUkiona wananchi wengi hawakerekwi nasi ujue hali sio ngumu sanaaa kama imavyonadiwa na wanasiasa! Changamoto zipo na ofcourse wapo wenye hali ngumu kabisa lakini walau watu wakijichaganya wanarudi jioni wakiwana faraja kiasi!
Mbona exchange rates zinafahamika? Kwanini mshahara haundani na exchange rates? Watanzania wengi, 70% mishahara yao haizidi 700,000 kwa mwezi, hizi ni sawa na Dola ngapi? 7k zinatosha nini na nini kwa mwezi?Tatizo ni pesa ya Tanzania kushuka thaamani dhidi ya dola ya marekani, na mikopo kausha damu pia ni shida sana.