Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangeanza kutubu wale ndugu zangu walionajisi uchaguzi na kupelekea yote haya. Usimbebeshe mmojawapo wa waathirika wa uchafuzi huu na ukawaacha wahusika. Nadhani wao kwenda bungeni wameonyesha ukomavu kisiasa. Acha maisha yaendelee mkuu.
Nani sasa afanye hivyo?
Kukacha kwenda BUNGENI Ni kukacha RUZUKU YA CHAMA...
Chadema Hawa ambao WAMEKUWA WAKIPITISHA BAKULI kuomba KUCHANGIWA sasa wanataka waendelee KUWAKAMUA WATANZANIA kipindi hichi cha "uchumi huu wa kati"?!!!
They are on the process of defection
Halima na wenzake wote wako under surveillance ya tiss , kila wanachokifanya wanakifanya kwa maelekezo ya Mhutu na tiss yake . Hata kuja kwenye kamati kesho mpaka waruhusiwe , inategemea Jiwe atakuwa kaamkaje iyo kesho umeelewa ?Mabibi na mabwana na hasa wale walio wazalendo. Ni ukweli ulio wazi kuwa maji yakishamwagika huwa hayazoleki. Hata hivyo tunaweza kuganga yajayo.
Ni ukweli usiopingika kuwa, Bi. Halima ni mmoja kati ya makamanda shupavu kabisa walioipigania CDM kwa uaminifu mkubwa, licha ya kupitia katika changamoto nyingi.
Wandugu, kujikwaa si kuanguka na kosa moja halifukuzishi mke!
Siyo siri kuwa, tukio hili lililopelekea mtafaruku huu, limetusikitisha na kutusononesha mno. Kwa hakika itakuwa vyema sana kama tutashirikiana sote kulimaliza suala hili kistaarabu kwa mustakabala mwema wa chama chetu.
Ni furaha iliyo je mbinguni, mwenye dhambi mmoja akitubu?
Msingi wa hoja kama chama ni kutokutambua haramu ya uchaguzi 2020 na yote yatokanayo nao.
"Hapa pana namna ambayo suala hili Bi. Halima, litakwisha na adui yetu akatepeta na kulegea vilivyo:
1.Ombeni radhi kwa dhati kabisa mkijutia yote yaliyotokea.
2. Wekeni wazi bila kuficha kama ni Hadaa, ghiliba, ahadi, vitisho, nk na mkiwaweka wazi wote waliohusika na sarakasi hii. Koleo na likaitwe kwa jina lake.
3. Tuunganeni sote kumshambulia na kumwaibisha mbaya wetu.
4. Mengine kama yatakavyo shauriwa na waungwana wengine."
Sote tu wakosaji, shuruti tuwe tayari kusamehe 7x70.
Hayupo aliyepanga kukufukuzeni. Chonde chonde uamuzi wa kutofika huko mnao pia mikononi mwenu.
Ashindwe mbaya wetu na washirika wake wote.
Washindwe na walegee!
Waombe msamaha.
Waeleze Nani amewashawishi Hadi kufikia hapo.
wajivue nyazifa zote walizonazo za Bawacha.
Kama chama kitaona inafaa iwape baraka waendele kuwa wabunge au wajiuzulu ubunge ili chama kifanye uteuzi upya.
Wakifanya hivyo wasamehewe
Kuna wakati unatakiwa kuchukua maamuzi ya kuifurahisha jamii hata kama yanakuumiza wewe na familia yako.
Na wakati mwingine unatakiwa kufanya mambo kwa ajili ya familia yako bila kujali jamii itakuweka kundi gani.
Yote haya hayatahusu mambo uliyowekea nadhiri au kiapo.
Nadhani H. Mdee ameamua kufanya hilo la pili ingawa hilo la kwanza ameshalitimiza pia.
Bahati mbaya sana ni kwamba kuna upande unafurahia ingawa hana utambulisho(ID) wao, na walio wenzake wanaumia kimtindo.
Siasa bila hujuma ni siasa zilizokosa changamoto. Ingawa mambo haya yanadumaza demokrasia, lakini yanatupa fundisho sote, kuanzia wanasiasa hadi wafuasi na wapiga KURA
Muhimu hapa ni kuchukua uamuzi sahihi kwa wakati sahihi
Sawa mwisho wa yote utamkuta mbowe bora tu hili wapunguze mihemko ya mitandao busara inahitajika zaidi achana na danadana za uchaguzi lakini hii mitandao imechangia zaidi kukiumiza chademawee mdanganye tuu, hukumu ya snitcher ni kupigwa risasi ya kichwaa tuu au kunyongwa hadharan na hili halina mjadala na walla si vinginevyo, na wanao mtetea vile vile rissasi za kichwa bila hurumaa…….ova!